YOUTUBE PLAYLIST
Tuesday, February 2, 2010
Ukitunga wimbo na ukiiweka katika hali ya kushikika mara hiyo unaanza kupata haki zote za wimbo hiyo. Wimbo ni mali itokananyo na ubunifu hivyo moja kwa moja unapata haki zinazostahili kutokana na mali hiyo na ni mali yako kama vile mali nyingine. Mara wimbo utakapokuwa tayari kutumika ni muhimu kusajili katika sehemu husika ili uweze kupata ulinzi na stahili zitakazopatikana kutokana na
Performance Rights ni zile haki zitokanazo na tungo ya muziki kutumika hadharani au kurushwa hewani. Hii inajumlisha pamoja na muziki kupigwa na Live Band na, au hata muziki uliokwisha rekodiwa kupigwa hadharani katika sehemu za hadhara
Mechanical Rights ni zile haki zinazohusiana na kuweka tungo katika vinasa sauti
Kwa hapa Tanzania Bara chombo ni COSOTA na
Ujio wa vinasa sauti bora na mtandao wa intanet unawezesha mamilioni ya watu kuweza kusikiliza wimbo kwa wakati mmoja katika maeneno mbalimbali ulimwenguni. Siyo siri kuwa matumizi kama ringtones ni biashara kubwa
Kuweko kwa taratibu za kukusanya mirabaha kuna wapatia fulsa wanamuziki wakongwe kuendelea kupata chochote na hata kutajirika japo nyimbo zao ni za zamani, napengine haziuziki tena. Mtunzi wa wimbo wa Red red wine alikwisha kata tama kimaisha uliporekodiwa upya wimbo huo ametajirika kutokana na wimbo huo.
Kuweko kwa vinasa sauti kumepunguza umuhimu wa kuweko kwa live music, hivyo malipo ya mirabaha inawezesha wanamuziki kupata mafao
Shughuli mbali mbali za sherehe
Ujaji wa vinanda aina ya synthesizer ulitoa hukumu ya kifo kwa taaluma ya vyombo vya upulizaji katika bendi nyingi Tanzania. Msondo ngoma wamebakia na msimamo ambao umeweka Bendi hiyo katika ngazi ya pekee kutokana na kubakia na wapulizaji ambao ni wazuri sana, pichani, Mnyupe na Romario katika onyesho moja mjini Tanga
SAFARI ZANGU NA BENDI sehemu ya kwanza.
TANCUT ALMASI ORCHESTRA wakiwa Jamhuri Stadium Dodoma Sikumbuki ni safari ngapi za kimuziki nilizowahi kuzifanya hapa nchini katika m...
-
Mara baada ya kutoa ule wimbo maarufu wa Kisambaa Shakaza, Eddy Sheggy mwenyewe na Wasambaa wengine wakaanza kuitwa Shakaza. Eddy Sheggy ali...
-
Suleiman Mbwembwe, aliyekuwa anajulikana pia kwa jina la Electronic Voice, alikuwa mwimbaji na mtunzi aliyeng'ara katika enzi zake. Aki...
-
TANCUT ALMASI ORCHESTRA wakiwa Jamhuri Stadium Dodoma Sikumbuki ni safari ngapi za kimuziki nilizowahi kuzifanya hapa nchini katika m...