
Hii ni label ya santuri mojawapo ya zamani. Katika miaka hii kulikuwa hakuna wizi wa kazi za sanaa kama ilivyo sasa. Teknolijia ilikuwa haiwezeshi mtu kukaa chumbani kwake na kunakili kazi za watu
TANCUT ALMASI ORCHESTRA wakiwa Jamhuri Stadium Dodoma Sikumbuki ni safari ngapi za kimuziki nilizowahi kuzifanya hapa nchini katika m...
Kwa kweli Jamhuri Jazz Band ilikuwa ikivuma sana Tanzania. Nakumbuka pale barabara ya 16 Tanga ndio walikuwa wakikutana na kufanya mazoezi. Wao na Atomic Jazz Band walikwa ndio wakivuma sana pale Tanga na Tanzania Nzima. Akina Yussufu an Rajabu waimbaji - kina siwale mpiga rythm nafikiri na wengi wengineo. Pamoja na John Kijiko wa Atomic Jazz Band. Jee wadau hawa jamaa wapo wapi hivi sasa.
ReplyDeleteNa hao ndipo tunapokuja kwenye suala la "paradox of our time" kama ilivyonukuliwa pembeni kulia mwa blogu yangu.
ReplyDeleteSijui kama "maendeleo" ni maendeleo ama ....
mie hudhani dunia bado kufika mwisho lakini dunia ya muziki wa kitanzania ilishafika mwisho kwa ujio wa bongo fleva. nalipenda solo la wimbo Joy kama lilivyoparuzwa na marehemu John Kijiko. LOL
ReplyDelete