
Jerry Nashon aka Dudumizi, moja ya waimbaji na watunzi mahiri waliowahi kupita katika anga la muziki Tanzania, nyimbo zake nyingi kama Imakulata (Bima Lee), Thereza, VIP (Vijana Jazz) zilimuweka katika matawi ya juu katika enzi zake
TANCUT ALMASI ORCHESTRA wakiwa Jamhuri Stadium Dodoma Sikumbuki ni safari ngapi za kimuziki nilizowahi kuzifanya hapa nchini katika m...
R I P Jerry,kazi yako nilikua ninaikubali sanaa,bingwa alikua juu sana,lakini ndio hivyo,wanasema kizuri sikuzote hua hakidumu,sasa haupo tena duniani,pumzika kwa amani Nashon.Mdau London.
ReplyDeleteHapa umetukumbusha mbali sana, mshkaji alikuwa na sauti ile mbaya..oh dudumizi kifo hakina huruma, nasikia historia alikufa kwa ajali ya pikipiki
ReplyDeleteJerry Nashon alikuwa mahiri.Sauti yake nzito sana ilikuwa(Crooner).Wimbo Imakulata ni mtamu sana kaka Kitime laiti kama ungeuweka hapa kidogo watu wausikie na kufahamu umahiri wa marehemu Nashon ingekuwa poa sana.
ReplyDeleteJe aliacha familia?
Jerry aliwahi kupata ajali mbaya ya pikipiki katika maisha yake yaliyosababisha aondolewe bandama, lakini alifariki baadae kwa ugonjwa tuu.Sijawahi kusikia kama aliiacha familia
ReplyDeleteNdugu Moses Gasana, wimbo huu waweza kuusikia hapa (http://www.eastafricantube.com/media/9547/Jerry_Nashon_and_Bima_Lee_Orchestra_-_Makulata/) japo ubra wake si wa juu sana.
ReplyDeleteKaka kitime afanyacho ni zaidi ya zawadi kwetu wapenda muziki huu.
Asante kwa mara ya tena na tena.