WANAMUZIKI WA TANZANIA IS A TANZANIA MUSIC BLOG
Leo natoa picha 3 za wanamuziki maarufu wakati wakiwa bado makinda, swali ni akina nani hawa?
John Nimeweza kumtambua waziri ally akipiga kinamda wengine naiachia jamii
Waziri Ally wa njenje The kilimanjaro Band hapo kama sikosei ni 1972
Franco Luambo Luanzo Makiadi. Marijani Rajab na Waziri Ally.
Haya jamaa kategua
wa katikati ni mbaraka mwinshehe mwaruka
Duh!!Anon kategua mapeeema. Ningewajua wawili tu lakini Franco hata hkuwa katika "guess range" yanguMara moja moja hii yanogesha ushirikiAsante saaana
Huyo wa kwanza...Keppy Kiombile..
Picha ya juu kushoto ni Mbaraka Mwishehe Mwaruka.Picha ya juu kulia ni Marijani.Huyo wa chini (pichani anaonekana mtoto) ni Mzee wa Njenje (Waziri Ally).
du wakati wa kupigwa picha hii sijui kepi alikuwa na umri gani hii ni picha ya kabla ya mwaka 60
Je miziki gani hiyo ilipigwa maruufuku, nakumbuka mmoja ulikuwa na maneno kama hivi `chenyewe kimejibanza....'unaukumbuka huo mziki?
TANCUT ALMASI ORCHESTRA wakiwa Jamhuri Stadium Dodoma Sikumbuki ni safari ngapi za kimuziki nilizowahi kuzifanya hapa nchini katika m...
John Nimeweza kumtambua waziri ally akipiga kinamda wengine naiachia jamii
ReplyDeleteWaziri Ally wa njenje The kilimanjaro Band hapo kama sikosei ni 1972
ReplyDeleteFranco Luambo Luanzo Makiadi. Marijani Rajab na Waziri Ally.
ReplyDeleteHaya jamaa kategua
ReplyDeletewa katikati ni mbaraka mwinshehe mwaruka
ReplyDeleteDuh!!
ReplyDeleteAnon kategua mapeeema. Ningewajua wawili tu lakini Franco hata hkuwa katika "guess range" yangu
Mara moja moja hii yanogesha ushiriki
Asante saaana
Huyo wa kwanza...Keppy Kiombile..
ReplyDeletePicha ya juu kushoto ni Mbaraka Mwishehe Mwaruka.
ReplyDeletePicha ya juu kulia ni Marijani.
Huyo wa chini (pichani anaonekana mtoto) ni Mzee wa Njenje (Waziri Ally).
du wakati wa kupigwa picha hii sijui kepi alikuwa na umri gani hii ni picha ya kabla ya mwaka 60
ReplyDeleteJe miziki gani hiyo ilipigwa maruufuku, nakumbuka mmoja ulikuwa na maneno kama hivi `chenyewe kimejibanza....'unaukumbuka huo mziki?
ReplyDelete