
Mzee Hamisi Kitambi hatunae tena. Amefariki tarehe 26 Feruary 2010, na kuzikwa tarehe 27 February 2010. Mzee Hamisi Kitambi kwa mara ya mwisho alikuwa bendi ya Msondo Group. Mungu Amlaze pema peponi.(Picha kwa hisani ya ya www.issamichuzi.blogspot.com)
kateseka sana. atakumbukwa daima. mungu amlaze pahala pema peponi. amen.
ReplyDeleteKAZI YAKE ITABAKI NA KUKUMBUKWA KATIKA HISTORIA YA MUZIKI WA TANZANIA
ReplyDeleteMUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONO - AMIN