YOUTUBE PLAYLIST
Sunday, July 31, 2022
ASANTE SANA DR KEDMOND MAPANA, KATIBU MTENDAJI MPYA WA BASATA
HAKUNA RAHA KUBWA KAMA PALE UNAPOONA SERIKALI INAZUNGUMZA NDOTO ZA WASANII, SERIKALI INAPOZUNGUZA MIPANGO YA KUENDELEZA SANAA KWA MUDA MREFU NA KWA KUTENGENEZA MFUMO UTAKAOFAIDISHA WASANII NCHI NZIMA. HAKIKA MWANGA UNAONEKANA WA KUONDOKANA NA ZILE SHUGHULI ZA KUTENGENEZA MATUKIO AMBAYO NI YA SIKU MOJA NA KWA WASANII WACHACHE MAARUFU.
Friday, July 29, 2022
TWANGA PEPETA KISIMA CHA BURUDANI KILA IJUMAA MAWASILIANO PARK
Vokali kali toka kwa Charles Baba Kingunge, akiwa na wakali wenzake wa Twanga Pepeta Sugu Kisima cha Burudani, kila Ijumaa huwa zinasikika Mawasiliano Park Ubungo jirani kabisa na jengo yalipo Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania yaani TCRA kuanzia saa mbili kamili usiku. Unakosaje?
Thursday, July 28, 2022
Wednesday, July 27, 2022
RATIBA YA BONGO BEATS BAND
ALHAMISI --- KIBOZONE MARAMBA MAWILI MBEZI
IJUMAA--- KALAMBEZI BAR UBUNGO TANESCO
JUMAMOSI --- MAGIC LOUNGE KWA LIPELANYA MBEZI MSAKUZI
JUMAPILI ---DAGAA DAGAA UBUNGO KIBO
KARIBUNI WAPENZI WETU,
BABA AMEONDOKA MTOTO AMEBAKI, KAMA ZAMANI.
Subscribe to:
Posts (Atom)
SAFARI ZANGU NA BENDI sehemu ya kwanza.
TANCUT ALMASI ORCHESTRA wakiwa Jamhuri Stadium Dodoma Sikumbuki ni safari ngapi za kimuziki nilizowahi kuzifanya hapa nchini katika m...
-
Mara baada ya kutoa ule wimbo maarufu wa Kisambaa Shakaza, Eddy Sheggy mwenyewe na Wasambaa wengine wakaanza kuitwa Shakaza. Eddy Sheggy ali...
-
Suleiman Mbwembwe, aliyekuwa anajulikana pia kwa jina la Electronic Voice, alikuwa mwimbaji na mtunzi aliyeng'ara katika enzi zake. Aki...
-
TANCUT ALMASI ORCHESTRA wakiwa Jamhuri Stadium Dodoma Sikumbuki ni safari ngapi za kimuziki nilizowahi kuzifanya hapa nchini katika m...