YOUTUBE PLAYLIST
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
SAFARI ZANGU NA BENDI sehemu ya kwanza.
TANCUT ALMASI ORCHESTRA wakiwa Jamhuri Stadium Dodoma Sikumbuki ni safari ngapi za kimuziki nilizowahi kuzifanya hapa nchini katika m...
-
Mara baada ya kutoa ule wimbo maarufu wa Kisambaa Shakaza, Eddy Sheggy mwenyewe na Wasambaa wengine wakaanza kuitwa Shakaza. Eddy Sheggy ali...
-
Suleiman Mbwembwe, aliyekuwa anajulikana pia kwa jina la Electronic Voice, alikuwa mwimbaji na mtunzi aliyeng'ara katika enzi zake. Aki...
-
Maneno Uvuruge ni moja ya wanamuziki waliotoka katika familia ya wanamuziki ya ukoo wa Uvuruge. Kaka zake Jumanne, Stamili...
Nadhani wa pili kushoto, aliyevaa shati jeupe la mikono mifupi, ni marehemu Adam "Eddy Sally".
ReplyDeleteSecon left Addy Sally and fourth left in the background is Vuli???? Au....
ReplyDeletehawa walikuwa Top-DJ`s wenye kipaji cha kuzaliwa,sijuwi ilikuwa wapi hapa walikusanyika kwa wakati mmoja,nawaona Eddy,Peters,Choggy Sly,najaribu kumpata Dimando kama na yeye alikuwepo,huu ulikuwa wakati wa starehe za Tanzania rainbow Disco Fever hautosahaulika daima
ReplyDeleteMickey Jones
Kalikali, John Pantalakis,Masoud Masoud, Mehboob Khan,Choggy Sly....
ReplyDeleteMdau
BabaJunior
Husussan huyo alie vaa shati jeupe ni eddy sally wa one eyed show sie view alipokuwa akituburidisha. Nakumbuka hits za wakati ule I wanna do my thing ya air fiesta matata, I stand acused ya Isaac hayes etc. kumbe huyu ndugu alishatutoka! Inalillah wa ina ilayhi rajiuna
ReplyDelete