YOUTUBE PLAYLIST

Friday, June 18, 2010

Tancut almasi Orchestra enzi hizo

Tancut Almasi katika onyesho mojawapo. Hawa dada wawili, ni Nana Njige(marehemu), na Nuru Mhina ambaye baadae aliolewa na Kabeya Badu ambaye ni muimbaji katika bendi ya Wazee Sugu. Trumpet Ray Mlangwa magitaa John Kitime na Kawelee Mutimwana,

6 comments:

  1. Anonymous03:37

    Mh. Kitime, your 'MixPod' doesn't work and I have asked you how to make it work to no avail!

    Of course, as a reader of your blog, I have got all reasons to ask for something on your blog because I believe you publish this blog for people (to read/enjoy) and not for yourself or certain group of people (if so, please feel free to tell your readers)!

    It's sad you maintain 'deaf ears' on this issue! There are some good songs there but I can't play them and of course, I have seen other readers expressing this concern before!

    I believe you haven't got any ulterior motive in publishing this blog and I believe you spend your valuable time and resources on this!...and believe me, we really appreciate it a lot!

    But your answer on your 'MaxPod' would be appreciated even more!

    'How to play those songs there on your 'MaxPod'?


    Many thanks,

    Mdau wa Bakulutu

    ReplyDelete
  2. Niliweka mixpod hiyo kwa madhumuni watu kusikiliza nyimbo hizi za zamani kila ninapoipost tena inakataa kusikika kwa baadhi ya wtu,nimeitoa mpaka hapo nitakapokuwa na uhakika inaweza kusikika kwa wote

    ReplyDelete
  3. Perez15:34

    "...Ninakwendaa safari, safari yenyewe safari ya kikazi,

    Ninajuaa mama utabakiii, watasema mengi,
    Pia wabaya wetu mamaa watafurahii x 2

    Ninakwendaa safari, safari yenyewe safari ya kikazi,

    Ninajuaa mama utabakiii, watasema mengi,
    Pia wabaya wetu mamaa watafurahii x 2

    Ninakwendaa safari, safari yenyewe ya masafa marefu,

    Ninajuaa mama utabakiii, watasema mengi,
    Pia wabaya wetu mamaa watafurahii x 2

    Ninakwendaa safari, safari yenyewe ya masafa marefu,

    Ninajuaa mama utabakiii, watasema mengi,
    Pia wabaya wetu mamaa watafurahii x 2

    Lakini usisikie yaoo mama watoto oo,……………..,

    Nakwenda kutafuta maisha ya watoto wetu…………….,

    Chunga watoto wetu mamaa nitarudi, tutaonana kwa mapenzi ya Mungu,
    Chunga watoto wetu mamaa nitarudi, tutaonana kwa mapenzi ya Mungu,

    * * * * * * * * * * * * * * * * * *

    Safari sio kifoo o mama iyeye,
    Subiri nitarudii o mama watoto,
    Safari sio kifoo o mama iyeye,
    Subiri nitarudii o mama watoto,

    Nikirudi mamaa nitakuletea zawadi,
    Nikirudi mama nipokee kwa mikono miwili

    Iyeye, oo mama iyee,

    Nikirudi mamaa nitakuletea zawadi,
    Zawadii nono, mama watooto.


    (a keba, keba, keba, keba, keba, keba, keba, kebaaa,)
    (fimbo, fimbo, fimbo, fimbo, lugoda,lugoda, lugoda, lugoda - Mangalaa.."

    We acha tu!

    ReplyDelete
  4. Anonymous19:04

    Mh. Balozi wa Muziki wa Dansi Kitime tunashukuru kutukumbisha mbali kwa habari na picha za enzi bin enzi.

    'Ni URafiki wa Uongo' Wimbo wa Tancut Almasi Wana Fimbo Ya Lugoda, nimeusikia ktk Youtube akaunti ya TizedBoy wiki mbili zilizopita, kweli muziki wa dansi ndiyo muziki.

    Mdau
    BabaJunior

    ReplyDelete
  5. Oh Nana Njige (RIP) tutakukumbuka daima...aliwahi kujisemea al-marhum mzee Shaaban Robert "kuna binadamu wana vipawa vya sauti za adimu".

    ReplyDelete
  6. Perez we acha tu hizo zilikuwa ndio nyimbo. Sauti za kina Kasaloo sio mchezo. Hiyo picha aliyesimama sio mzee Kalala Mbwembwe? Niliwahi kusikia amefariki, kama kweli (RIP) mchango wao tutaukumbuka daima

    ReplyDelete

SAFARI ZANGU NA BENDI sehemu ya kwanza.

  TANCUT ALMASI ORCHESTRA  wakiwa Jamhuri Stadium Dodoma   Sikumbuki ni safari ngapi za kimuziki nilizowahi kuzifanya hapa nchini katika m...