YOUTUBE PLAYLIST
Wednesday, June 16, 2010
Saba saba 2
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
SAFARI ZANGU NA BENDI sehemu ya kwanza.
TANCUT ALMASI ORCHESTRA wakiwa Jamhuri Stadium Dodoma Sikumbuki ni safari ngapi za kimuziki nilizowahi kuzifanya hapa nchini katika m...
-
Mara baada ya kutoa ule wimbo maarufu wa Kisambaa Shakaza, Eddy Sheggy mwenyewe na Wasambaa wengine wakaanza kuitwa Shakaza. Eddy Sheggy ali...
-
Suleiman Mbwembwe, aliyekuwa anajulikana pia kwa jina la Electronic Voice, alikuwa mwimbaji na mtunzi aliyeng'ara katika enzi zake. Aki...
-
Maneno Uvuruge ni moja ya wanamuziki waliotoka katika familia ya wanamuziki ya ukoo wa Uvuruge. Kaka zake Jumanne, Stamili...
asante sana Bwana John kwa mpangilio mzima wa swala hili, kweli watu wataburudika sana na burudani hii, sasa ombi kwa akina fulani kama sie ambao tuko mbali na nyumbani na kwa namna moja au nyingine tutapitwa na burudani hii, twatamani sana kama tungekuwepo, kama itawezekana kurekodiwa DVD au VIDEO kuuzwa ili tuweze kuzipata, nasi japo tufarijike kwa kuona wanamuziki wa kweli walivyofanya mambo siku hiyo, ikiwezekana pia copy hizo zitasaidia kufundisha hawa watoto wanaojiita kizazi kipya maana halisi ya music, maana wameua muziki wa nyumbani, nasikia siku hiyo wote mutapiga black and white kama uniform je ni kweli? sipati picha hiyo siku itakuaje, wish were there, all the best siku ifanikiwe.
ReplyDeleteMzee Mwakitime,
ReplyDeleteTutambulishe kwa majina na bendi zao badala ya kuweka picha zao pekee yake.
Unajua wengi wao wamebadilika sura kutokana na umri kusogea mbele na hata wakati mwingine ni kwa ajili ya ugumu wa maisha mtu anageuka sura.
This Is Black=Blackmannen
Kitime pole Kaka.
ReplyDeleteNimekuona kule kwa Michuzi unafanya mazoezi na hao Sabasaba 2, kumbe ndo mana umeisahau hii bulogi yako huku kwa muda mrefu kumbe bize nyingi za mazoezi ya sabasaba?
Pole sana Kaka. Ndo ukubwa huo.
mzee wetu mimi ni mjukuu ila katika hili la kushirikiana me nakuomba unisaidie najua mna wapigaa gitaa wengi na wazuri sasa me ninawazo hamwezi kupeleka ombi gerezani mkamshirikisha mzee nguza kaika gitaa ilikupata ladha fulani?huku mzee kalala huku nguza he ivi itanogaje?dah kama inawezekana jaribu kuomba unijulishe tafadhali ulaya mambo haya yapo wasanii wanatungamiziki wakiwa jela na watoa ila hapa kwetu sijui ila nakuomba ujaribu ili tufurahie sote najua umahili wa mzee nguza me sina la kukwambia coz we unamjua zaidi yangu kazi njema babu baba yangu ndo hupenda kukuongelea akitwambia kua we ni babu yetu nasi tumezoea ivyo husema niwe keeni cd ya babu yenu yani wewe
ReplyDeleteKeep it up mzee Gurumo ndani ya nyumba "Kamandaa", sitakosa siku hiyo
ReplyDeleteNajaraibu kumsaidia Blackmannen.
ReplyDeleteNa.1. Hamza Kalala na Abdul Salvador (Vijana Jazz/Njatanjata)
2. Shabani Dede na mzee Said Mabera (Sikinde/Msondo)
3. Mafumu Bilal Bombega (Bicco Stars/African Beats)
5. Kalala
6. Muhidini Maalim "Gurumo" na Mabera (Msondo Music Band)
7. Shabani Dede na King Kikii "Bwana Mkubwa" (Sikinde/King Kikii Double O/La Capitale - "Wazee wa La Prima inawaka "muto" =moto)
Nimejaribu tu wadau mtanisahihisha
Ahsante sana "Bana" kwa msaada wako wa kunitambulisha majina yao na bendi zao hao Wakulu wetu.
ReplyDeleteWadau tuuendeleze moyo wa aina hii wa kusaidiana pale mwenzetu anapoomba kupewa msaada.
Hadi dakika hii ninapoandika hapa, nausubiri mzigo wangu wa CD wa nyimbo za zamani. Nilipewa msaada kwa kupewa contact za TBC na "Mdau" mwenzetu. Ninamshukuru sana kwa msaada wake.
This Is Black=Blackmannen
sasa Blackmannen ukipokea mzigo nami naomba anagalau nakala.shukran
ReplyDelete