YOUTUBE PLAYLIST
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
SAFARI ZANGU NA BENDI sehemu ya kwanza.
TANCUT ALMASI ORCHESTRA wakiwa Jamhuri Stadium Dodoma Sikumbuki ni safari ngapi za kimuziki nilizowahi kuzifanya hapa nchini katika m...
-
Mara baada ya kutoa ule wimbo maarufu wa Kisambaa Shakaza, Eddy Sheggy mwenyewe na Wasambaa wengine wakaanza kuitwa Shakaza. Eddy Sheggy ali...
-
Suleiman Mbwembwe, aliyekuwa anajulikana pia kwa jina la Electronic Voice, alikuwa mwimbaji na mtunzi aliyeng'ara katika enzi zake. Aki...
-
Maneno Uvuruge ni moja ya wanamuziki waliotoka katika familia ya wanamuziki ya ukoo wa Uvuruge. Kaka zake Jumanne, Stamili...
Balozi,
ReplyDeleteHuyo kushoto ktk picha ni Mh.Balozi Maharage.
Mdau
BabaJunior
Huyu ni Mh. Balozi M. Maharage Juma (ex-collegemate wangu mlimani). Katika burdani - enzi hizooo - alikuwa ni mwimbaji wa "soul music", hasa wa nyimbo za James Brown (early 70's). Inkishafi.
ReplyDeleteEee Bwana Kitime Huyo Kasheba ananikumbusha jinsi walivyokuwa wanajibishana kwa kutumia ma Solo gitaa yao yeye na Nguza katika wimbo wa MAMA MARIA.
ReplyDeleteMasolo gitaa yanaongea yenyewe kwa yenyewe Mwanangu! Daa!
"...mama mariaa twakutakia kila la heri mamaa..."
Huyo ni balozi mhs Mohamed Maharage
ReplyDeletealitikisa saana miaka ya 70`s aliitwa "James Brown" wa Tanzania akiwa na mkongwe Ndala Kasheba.
Mickey Jones
Denmark
Mkuu,
ReplyDeleteMuheshimiwa Balozi ana mdogo wake mwishoni mwa miaka ya 70 alikuwa ni booongeeee la disco dancer! Alishinda mashindano kadhaa ya dansi jijini Dar es Salaam. Yeye na partner wake walikuwa ni kivutio kikubwa sana cha uchezaji disco. Ninaweza kusema mdogo wa Muheshimiwa Balozi alikuwa ni outstanding choreographer and dancer.
Huyo mdogo wake Muheshimiwa Balozi alikuwa pia mlimbwende na mchekeshaji mzuri sana mwenye ufasaha wa hali juu wa lugha ya Kiswahili. Kwa jina la utani tulikuwa tukimuita Kamanyola au Nyolakama