YOUTUBE PLAYLIST
Wednesday, May 19, 2010
Kitendawili tena
Naleta picha nyingine ya wanamuziki wa zamani, bahati mbaya kuna mmoja katika picha hii amekwisha tangulia mbele ya haki, wa kwanza kushoto ni Salim Willis, drummer, na baadae mpiga gitaa wa Afro70, wa kwanza kulia ni mwanamuziki wa toka enzi hizo na mpaka leo bado yuko jukwaani je unamfahamu ameshiriki katika miziki mingi inayopendwa sana. Unakumbuka bendi alizopitia?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
SAFARI ZANGU NA BENDI sehemu ya kwanza.
TANCUT ALMASI ORCHESTRA wakiwa Jamhuri Stadium Dodoma Sikumbuki ni safari ngapi za kimuziki nilizowahi kuzifanya hapa nchini katika m...
-
Mara baada ya kutoa ule wimbo maarufu wa Kisambaa Shakaza, Eddy Sheggy mwenyewe na Wasambaa wengine wakaanza kuitwa Shakaza. Eddy Sheggy ali...
-
Suleiman Mbwembwe, aliyekuwa anajulikana pia kwa jina la Electronic Voice, alikuwa mwimbaji na mtunzi aliyeng'ara katika enzi zake. Aki...
-
Maneno Uvuruge ni moja ya wanamuziki waliotoka katika familia ya wanamuziki ya ukoo wa Uvuruge. Kaka zake Jumanne, Stamili...
hapa namkumbuka Salim Willis na marehemu Belino,huyu dada mrembo na mwanamuziki wa enzi mpaka leo siwakumbuki.
ReplyDeleteMickey Jones
Willis yupo lakini Belino hayupo hapa.
ReplyDeleteMickey,Balozi M are you guys in facebook ? If so look me up
ReplyDeletehttp://www.facebook.com/SamMnkande?ref=profile
Mickey
ReplyDeleteHuyo dada ni dada yake Salum Willis, sikumbuki nani mkubwa kati yao, mara ya mwisho 1999 nilikutana naye Arusha Int Conference Center, Sam Mkande huko face book sijaingia bado
Balozi
mwakitime naomba unisaidie kitu kimoja napenda sana wimbo wa jojina lakini sijuii mtu aliyeimba tafadhali naomba jina la mtu aliye imba na namna ya kupata huu wimbo niweze kuzikiliza hapa ktk computer tafadhali naomba unisaidie ubarikiwe sana
ReplyDeleteSina uhakika ni wimbo gani wa Jojina unaoutaka,uliomaarufu ni ule ambao umepigwa na Safari Trippers, ukaimbwa na Marijani Rajabu. jaribu
ReplyDeleteHuyu wa kwanza kulia ni Jeff those days alikuwa ni drummer boy wa the groove makers pamoja the late Herbet lukindo, the jengo brothers and ofcourse the one and only one our James brown s(atchmo)
ReplyDeleteWa kwanza ni Jeff, kwa sasa yuko Sikinde,Na wa mwisho ni Salim Willis alikuwa Afro70
ReplyDelete