YOUTUBE PLAYLIST
Thursday, May 20, 2010
Choggy Sly
Nahisi najua Choggy Sly angesema nini angekuwa hai kama angejua nimeweka picha hii hapa, God he was a great guy. Pembeni yake ni mwanamuziki kutoka South Africa Vuli, aliyefanya mengi katika muziki nchini akiwa na dada yake Nini aliyekuwa akiimbia Afro70.Vuli baadae alikuwa akipiga trumpet katika kundi la Lucky Dube
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
SAFARI ZANGU NA BENDI sehemu ya kwanza.
TANCUT ALMASI ORCHESTRA wakiwa Jamhuri Stadium Dodoma Sikumbuki ni safari ngapi za kimuziki nilizowahi kuzifanya hapa nchini katika m...
-
Mara baada ya kutoa ule wimbo maarufu wa Kisambaa Shakaza, Eddy Sheggy mwenyewe na Wasambaa wengine wakaanza kuitwa Shakaza. Eddy Sheggy ali...
-
Suleiman Mbwembwe, aliyekuwa anajulikana pia kwa jina la Electronic Voice, alikuwa mwimbaji na mtunzi aliyeng'ara katika enzi zake. Aki...
-
Maneno Uvuruge ni moja ya wanamuziki waliotoka katika familia ya wanamuziki ya ukoo wa Uvuruge. Kaka zake Jumanne, Stamili...
Hilo buti la vuli ni kiboko. Kofia ya Choggy (RIP) ndio sisemi. Man, those were the days. The swinging, golden 70s.
ReplyDeleteChoggy...RIP. Ahsante mkuu kwa picha ya Vuli. Vuli 72, 73 yayari alikuwa anasikiliza na kupiga jazz. I mean the guy was really deep into music kama balozi wetu JKitime. Wakati huo musician ulikuwa huwezi ku-"fake" kama sasa: either you could play an instrument or you couldn't or you could singg or couln't...hakukuwa na half-way house. Ex-bitozi.
ReplyDeleteWakuu,
ReplyDeleteYah men! hii mashine Vuli ilikuwa inatwanga, inakoboa, na kusaga muziki. Hii mashine ilikuwa inaswing, tena kwa ufasaha, kwenda chombo chochote iwe vya kugonga, vya kubonyeza, vya kupapasa au vya kupuliza hali kadhalika kuimba. Mwanamuziki anayeweza kufanana naye kwa mbali ni Mabruki au Abdallah "Dullah" Mnanga au Athanas Lukindo au George Kapinga. Kama sikosei bendi yake ya mwisho kupigia akiwa Tanzania ni The Revolutions. Mabruki na Mohamedi wanaweza kutupa habari zaidi.
Choggy naye ilikuwa mashine ya kiaina yake. Kabla hajawa Dj alikuwa mwanamuziki. Ulikuwa ukienda disco na kusikiliza upangaji wake wa muziki ulikuwa unapata raha ya aina yake. He didn't care if the hit was latest or old alikuwa anasokomeza miziki kufuatana na utamu wake na muafaka na muziki utakaofuata. Choggy could talk, Choggy could joke, Choggy could amuse, Choggy could irritate, he was everything a social being could be. Surely we miss him. Marehemu Choggy Mungu Amlaze Pema Peponi. Amen.
Dk John,
ReplyDeleteLeo umenikumbusha mbali saaana kunitundikia hawa marafiki zangu
Vulli alikuwa akipiga vyombo vyote sax,piano na drums,marehemu Dj Choggy Sly alikuwepo kila Disco, huu ulikuwa ujana/ubitoz wa 70`s ahsante kwa kumbukumbu.
Mickey Jones
Bwana Kitime utuambie Chogi yuko upande gani na Vuli ndio wa upande gani.
ReplyDeleteUsi tek fo granted kwamba kila mtu anamjua Chogi Slai.
Asante
Kushoto ni Vuli aliyevaa kofia ya Jackson 5 ni Choggy
ReplyDeleteAsante Kitime. Sasa nimeshakufaham. Ubarikiwe sana.
ReplyDelete