YOUTUBE PLAYLIST
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
SAFARI ZANGU NA BENDI sehemu ya kwanza.
TANCUT ALMASI ORCHESTRA wakiwa Jamhuri Stadium Dodoma Sikumbuki ni safari ngapi za kimuziki nilizowahi kuzifanya hapa nchini katika m...
-
Utaratibu wa bendi hapa nchini ulifuata sana utaratibu wa bendi za nje kutokana na muziki wa bendi kuwa ni wa mapokeo. Hapa naongelea aina ...
-
Mara baada ya kutoa ule wimbo maarufu wa Kisambaa Shakaza, Eddy Sheggy mwenyewe na Wasambaa wengine wakaanza kuitwa Shakaza. Eddy Sheggy ali...
-
TANCUT ALMASI ORCHESTRA wakiwa Jamhuri Stadium Dodoma Sikumbuki ni safari ngapi za kimuziki nilizowahi kuzifanya hapa nchini katika m...

nadhani ni Hassan Dalali.
ReplyDeleteHapana huyu alikuwa akipiga second solo katika Bendi moja maarufu, ana mwanae ni mcheza show wa Twanga Pepeta
ReplyDeleteJohn, Je nickname yake ilikuwa ni Mick Jagger from Changombe??? Tegua kitendawili: Nakupa mji...Iringa au DAR (chagua mwenyewe...huyu jamaa looks familiar lakini I just can't put a name or place to his face).
ReplyDeleteNachagua Iringa. Mick Jagger wa Chang'ombe alikuwa mpiga bezi wa Rifters. Huyu anaitwa Salim Willis, alikuwa mwanamuziki mpiga gitaa Afro 70
ReplyDeleteThanks. Nimekwishamkumbuka. Miaka 35-38 ni muda mrefu (na ukichukulia kuwa "uzee" hausaidii kumbukumbu).
ReplyDelete