Uncle hapa ungetujuvya style hii ya kuvaa ilikuwaje ama iliitwaje? Maana ni kama enzi za kubeba "zege" wenyewe wakiita Nondo na mapokopoko mengine mikononi. Alikuwa "amechafuka" kwa madini vidoleni. Hahahahaaaaaaaaaaaaa One of the greatest shot of "DR" Remmy Thanx again Uncle
WE WAJAMENI KWELI TUMETOKA MBALI SANA, DUH MZEE MZIMA VERE YANKIII
ReplyDeleteha ha haaaaaa raha sana kumwona Dr.Ramadhani Mtoro Ongala akiwa kijana enzi hizooooo.Ahsante Kitime.
ReplyDeleteUncle hapa ungetujuvya style hii ya kuvaa ilikuwaje ama iliitwaje?
ReplyDeleteMaana ni kama enzi za kubeba "zege" wenyewe wakiita Nondo na mapokopoko mengine mikononi. Alikuwa "amechafuka" kwa madini vidoleni.
Hahahahaaaaaaaaaaaaa
One of the greatest shot of "DR" Remmy
Thanx again Uncle
nazani hata kiswahili kilikuwa bado taabu kwa remmy ongala. kweli ya kale dhahabu.
ReplyDelete