YOUTUBE PLAYLIST
Monday, February 1, 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
SAFARI ZANGU NA BENDI sehemu ya kwanza.
TANCUT ALMASI ORCHESTRA wakiwa Jamhuri Stadium Dodoma Sikumbuki ni safari ngapi za kimuziki nilizowahi kuzifanya hapa nchini katika m...
-
Mara baada ya kutoa ule wimbo maarufu wa Kisambaa Shakaza, Eddy Sheggy mwenyewe na Wasambaa wengine wakaanza kuitwa Shakaza. Eddy Sheggy ali...
-
Suleiman Mbwembwe, aliyekuwa anajulikana pia kwa jina la Electronic Voice, alikuwa mwimbaji na mtunzi aliyeng'ara katika enzi zake. Aki...
-
Maneno Uvuruge ni moja ya wanamuziki waliotoka katika familia ya wanamuziki ya ukoo wa Uvuruge. Kaka zake Jumanne, Stamili...
Nakumbuka wakati nimeanza kufuatilia matangazo yao, nilikuwa nashangazwa saana na utayarishaji wao. Yaani suala la Graphic Design halikuwa akilini. Nakumbuka picha za kila msanii na zana yake. Wa Tarumbeta anayo, wa Sax anayo, wa Gitaa vivyo hivyo, waimbaji na mic zao.
ReplyDeleteDah!! Sijui tumepoteza nini katika HISIA NA TOUCH YA MUZIKI NA WANAMUZIKI WETU????
Umenikumbusha mbaali sana Uncle
Asante
Mjomba hapa umenikumbusha mbali sana. Rafiki yako kipenzi alikuwa mpenzi sana wa haya mambo na mpaka leo kuna santuri zake nyingi na vipande vya matangazo alivyokuwa anatunza.
ReplyDeletePlease fanya mpango wa kunitafutia mashine ya kuchezea hizo santuri maana ni nyingi na nina hamu ya kusikia tena muziki wa miaka ile ilikuwa na ladha gani nikiwa na umri huu.
Nikifika tu ntakwambia tuonane, nimenunua na software ya kuhamishia hizo santuri kwenye computer ili uzihamishie kwenye CD. Halafu lile feni nimepandisha juu, haliwezi kukukata tena shingo we njoo nyumbani
ReplyDelete