
Miaka hiyooo staili hii iliitwa bumping. ilianza hasa baada ya wimbo ulioitwa Kung Fu fighting. Hapa ni Marehemu Mbaraka Mwinyshehe akiwa Songea wakati huo na Morogoro Jazz Band
TANCUT ALMASI ORCHESTRA wakiwa Jamhuri Stadium Dodoma Sikumbuki ni safari ngapi za kimuziki nilizowahi kuzifanya hapa nchini katika m...
Ama kweli tunatoka mbali!
ReplyDeleteSi mcezo, na ni muhimu kujua tonatoka wapi ili kuelewa tunakwenda wapi
ReplyDelete