YOUTUBE PLAYLIST
Thursday, July 15, 2010
Uliwafahamu Hot 5 wa Magomeni Kota?
Kuna swali nimeulizwa sina jibu,na kila ninae muuliza hana kumbukumbu nalo. Nimeulizwa kama nilikuwa nalifahamu kundi lililoitwa Hot 5 ambalo masikani yake yalikuwa Magomeni Kota, kundi hili lilikuwepo kabla ya Flaming Stars kuhamia Mombasa.....kuna mwenye taarifa?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
SAFARI ZANGU NA BENDI sehemu ya kwanza.
TANCUT ALMASI ORCHESTRA wakiwa Jamhuri Stadium Dodoma Sikumbuki ni safari ngapi za kimuziki nilizowahi kuzifanya hapa nchini katika m...
-
Mara baada ya kutoa ule wimbo maarufu wa Kisambaa Shakaza, Eddy Sheggy mwenyewe na Wasambaa wengine wakaanza kuitwa Shakaza. Eddy Sheggy ali...
-
Suleiman Mbwembwe, aliyekuwa anajulikana pia kwa jina la Electronic Voice, alikuwa mwimbaji na mtunzi aliyeng'ara katika enzi zake. Aki...
-
Maneno Uvuruge ni moja ya wanamuziki waliotoka katika familia ya wanamuziki ya ukoo wa Uvuruge. Kaka zake Jumanne, Stamili...
The only ones from Magomeni Quarters ninaowakumbuka walikuwa ni The Tonics
ReplyDeleteHata mimi ninaowakumbuka walikuwa ni Tonics, ukiondoa wanamuziki waliokuwa wakiishi Magomeni waliokuwa Sparks na Comets (?). And that was in the late 1960's wakati nasoma. Tonics walihamia Arusha ambapo ndipo walifanya maskani yao kwa miaka kadha. Labda ukiwauliza kina Mhuto na Sabuni wanaweza kuwa na kumbukumbu nzuri zaidi.
ReplyDelete