YOUTUBE PLAYLIST
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
SAFARI ZANGU NA BENDI sehemu ya kwanza.
TANCUT ALMASI ORCHESTRA wakiwa Jamhuri Stadium Dodoma Sikumbuki ni safari ngapi za kimuziki nilizowahi kuzifanya hapa nchini katika m...
-
Mara baada ya kutoa ule wimbo maarufu wa Kisambaa Shakaza, Eddy Sheggy mwenyewe na Wasambaa wengine wakaanza kuitwa Shakaza. Eddy Sheggy ali...
-
Suleiman Mbwembwe, aliyekuwa anajulikana pia kwa jina la Electronic Voice, alikuwa mwimbaji na mtunzi aliyeng'ara katika enzi zake. Aki...
-
Maneno Uvuruge ni moja ya wanamuziki waliotoka katika familia ya wanamuziki ya ukoo wa Uvuruge. Kaka zake Jumanne, Stamili...
washabiki tutafurahi kuwasikia wazee wa kazi katika sherehe za sabasaba.
ReplyDeleteHatujapewa habari za Dr Ufuta kama atajihusisha na mipangilio ya sherehe,niliona katika blogu hii kama yupo anatumika kama mlinzi.
Mickey Jones
Mwambieni Mzee King Kikki arekodi basi zile nyimbo zake anazopiga La Prima? Ni nzuri sana zile.
ReplyDelete"...uniitie Antoe antoe......Mulumba mwana mama...,
Nakupenda kamaa wewe, kama wewe,.."
AU
".... ulianza toka zamani kunitafuta mie oo....
Kelele za nini mamam eee, Kaloleee..."
Hii kitu irekodiwe kwaajili ya Histori kama inawezekana.
ReplyDeleteUtamu kunoga tukumbuke enzi zetu. Ni kweli alivyoshauri mchangiaji mmoja lirekodiwe na ikiwezekana vyombo vya habari vya electronic vialikwe kwa ajili ya live or recorded transmission.. Huree waandaaji
ReplyDelete