YOUTUBE PLAYLIST
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
SAFARI ZANGU NA BENDI sehemu ya kwanza.
TANCUT ALMASI ORCHESTRA wakiwa Jamhuri Stadium Dodoma Sikumbuki ni safari ngapi za kimuziki nilizowahi kuzifanya hapa nchini katika m...
-
Mara baada ya kutoa ule wimbo maarufu wa Kisambaa Shakaza, Eddy Sheggy mwenyewe na Wasambaa wengine wakaanza kuitwa Shakaza. Eddy Sheggy ali...
-
Suleiman Mbwembwe, aliyekuwa anajulikana pia kwa jina la Electronic Voice, alikuwa mwimbaji na mtunzi aliyeng'ara katika enzi zake. Aki...
-
Maneno Uvuruge ni moja ya wanamuziki waliotoka katika familia ya wanamuziki ya ukoo wa Uvuruge. Kaka zake Jumanne, Stamili...
Ninaomba mnisadie majina ya kiswahili kwa hivyo vifaa alivyoviweka Kitime. Hizo za kwanza juu ninajua zinaitwa santuri, na hivyo vingine je?
ReplyDeleteZinakumbusha mbaali sana yani.
ReplyDeleteWatoto wanaozaliwa sasa hivi hivi vifaa watajifunza kwenye historia tu.:-(
ReplyDeleteEnzi hizo ndio muziki ulikuwa unalipa maaana ukishauweka kwenye santuri umemaliza kazi, watu watausikiza tu lakini kuiba hawawezi lazima wanunue santuri zako.
ReplyDeleteSiku hizi kila mtu mwenye computer anaweza kuduplicate CD nani atakayenunua?