YOUTUBE PLAYLIST
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
SAFARI ZANGU NA BENDI sehemu ya kwanza.
TANCUT ALMASI ORCHESTRA wakiwa Jamhuri Stadium Dodoma Sikumbuki ni safari ngapi za kimuziki nilizowahi kuzifanya hapa nchini katika m...
-
Mara baada ya kutoa ule wimbo maarufu wa Kisambaa Shakaza, Eddy Sheggy mwenyewe na Wasambaa wengine wakaanza kuitwa Shakaza. Eddy Sheggy ali...
-
Suleiman Mbwembwe, aliyekuwa anajulikana pia kwa jina la Electronic Voice, alikuwa mwimbaji na mtunzi aliyeng'ara katika enzi zake. Aki...
-
Maneno Uvuruge ni moja ya wanamuziki waliotoka katika familia ya wanamuziki ya ukoo wa Uvuruge. Kaka zake Jumanne, Stamili...
John unakumbuka tulipokuwa pale Iringa nilikuwa navaa viatu hivi. I remember mwaka 1976 nilivinunua duka la Bora vikizuwa shs 250 jozi moja. Kwa mshahara wangu wa shs 500 kwa mwezi wakati huo sikujali kufa njaa.Vilikuwa ghali kweli. Ukiweka juu yake suruali ya pecos (bell bottom) na nywele za Afro ah bwana mbona unaonekana kijana wa kisasa haswa. Unakumbuka? Hahaha. I wish we had video cameras those days.
ReplyDeleteMkuu,
ReplyDeleteZilikuwa ni enzi za ubitozi, 1974 to 1976. Miziki ya kina Kirk Douglas, Osibisa, Ojays, Sunburst, Barkeys, Trippers, Afrosa, Jimmy Cliff pia alituswafi nyoyo.
Local bands zilizovuma wakati huo NUTA Jazz Band ilikuwa numero uno katika viwanja vya watoto wa nyumbani (Mpenzi Zarina mpaka mtondogoo itanikuna). Kuruka ukuta ilipigwa na nani?
Kipindi hicho ndiyo ulikuwa ujio wa Boma Liwanza na Marquis Du Zaire. Pia Sosoliso ndiyo walisikika na Tres Madjes.
Ubitozi, Laizon, Pecos, Slimfit, Bumping, Kavasha, klimplin, dengliz, maxi, mini, Bora Shoe, Bata ndiyo ilikuwa social image.
Richard Matiko aliishiwa wapi?
John, nina HIS MASTER'S VOICE kinanda kama kuna mtu anataka kama mapambo.
ReplyDeleteBei? mi naitaka
ReplyDeleteDaah! Zamani wazee wetu mlikula sana bata! Nowdays mavazi mazuri yapo lakini kwa upande wa dada zetu mengi ni nusu uchi
ReplyDelete