Uganda
Nasikia fununu wanavyoichanachana
I am a democrat, I don't want communism, English, Yes, No I don't know, Kizungu sikijui
Wanyika msishindane na Watanganyika
Wimbo huo ukaanza kutumika kabla ya mikutano ya Mwalimu Nyerere na kuanza kuwa maarufu kama wimbo wa kudai uhuru, wakoloni haraka sana wakaona wimbo huu utaweza kusababisha vurugu kama ambazo zilikuwa zinaendelea Kenya chini ya Maumau. Serikali ikaupiga marufuku na kuanza kuusaka nyumba hadi nyumba
hizo ndio historia tunazo taka kaka thanks alot for bringing this
ReplyDeleteKasesela
Hawa kina mzee Humplick ndio walikuwa watunzi hasa wa nyimbo za muziki, sijui sasa kama tunaweza kupata watunzi kama hawa, ok labda kwa kuwa muziki nao unategemea na kizazi. Bado sijaona wanamuziki wanaoweza kupambana na kina Mbaraka Mwinshehe, Salum Abdalla, Marijani Rajab nk.
ReplyDeleteHongera Kitine kwa kuanzisha blog inayotukumbusha wanamuziki wa zamani.