Kwa masikitiko makubwa nimepata taarifa ya kifo cha mdau muhimu wa muziki wa dansi Juma Mwendapole. Amefariki Ijumaa tarehe 12 February 2010 na kuzikwa kesho yake. Mwendapole ndiye aliyekuwa mmiliki wa Bendi ya Afriso Ngoma iliyokuwa na wanamuziki maarufu kama Lovy Longomba. Kwa miaka ya karibuni wanamuziki wengi wamekuwa wakimtegemea kwa kukodi vyombo vya muziki toka kwake. Bendi nyingi zisingekuweko kama si msaada wa Juma Mwendapole.
Mungu Amlaze pema peponi Amin
YOUTUBE PLAYLIST
Tuesday, February 16, 2010
Kwa heri Juma Mwendapole
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
SAFARI ZANGU NA BENDI sehemu ya kwanza.
TANCUT ALMASI ORCHESTRA wakiwa Jamhuri Stadium Dodoma Sikumbuki ni safari ngapi za kimuziki nilizowahi kuzifanya hapa nchini katika m...
-
Mara baada ya kutoa ule wimbo maarufu wa Kisambaa Shakaza, Eddy Sheggy mwenyewe na Wasambaa wengine wakaanza kuitwa Shakaza. Eddy Sheggy ali...
-
Suleiman Mbwembwe, aliyekuwa anajulikana pia kwa jina la Electronic Voice, alikuwa mwimbaji na mtunzi aliyeng'ara katika enzi zake. Aki...
-
Maneno Uvuruge ni moja ya wanamuziki waliotoka katika familia ya wanamuziki ya ukoo wa Uvuruge. Kaka zake Jumanne, Stamili...
Please can you tell me if this is Baba-Issa of Msasani district?
ReplyDeleteUnfortunately I have to say Yes. Pole sana
ReplyDeleteUncle John.
ReplyDeleteNaomba unikumbushe / unisaidie kuweka kumbukumbu sawa. Afriso Ngoma ndiko alikoibukia Ally Choki ama Eddy Sheggy? Ni bendi hii iliyoimba Milima ya kwetu? Najaribu kuweka picha sawasawa lakini naona nahitaji msaada wako.
Asante
R.I.P Juma Mwendapole!
ReplyDeleteHapana Choky aliibukia Bantu kwa Hamza Kalala, bendi iliyoimba Milima Ya Kwetu ilikuwa ni Super Rainbow,bendi ya Mwananyamala, waimbaji wakiwa Eddy Sheggy na Emma Mkelo
ReplyDeleteNdiyo pole sana :( I lived at their home in 2007 and they treated me like family. Please send my sympathy to mama, Issa, Saidi and my little toto Salima.
ReplyDeleteAsante saana Uncle
ReplyDeleteNaendelea kujifunza na kuboresha kumbukumbu zangu.
KWANZA NATOA POLE KWA FAMILIA YA MWENDAPOLE KWA MSIBA,MOLA AILAZE ROHO YAKE PEPONI.
ReplyDeleteDEKULA KAHANGA SWEDEN
pole kwa familia na wadau wa muziki hapa africa na ulimwenguni kote tuko pamoja kaka Kitime naamini kwa pamoja tunaweza kufikisha ujumbe na kutangaza muzkiki wetu mbali zaidi
ReplyDelete