Jukwaa la wapenzi wa mambo ya muziki wa Tanzania-

Breaking

Monday, May 31, 2010

SABA SABA 2

Wanamuziki kadhaa wa zamani walikutana kuongela onyesho la wanamuziki wa zamani litakalofanyika siku ya Sabasaba. Mazoezi yataanza wiki ijayo. Pichani toka juu, Muhidin gurumo, Abdul Salvador, King Kiki na Rehani Bitchuka, Kabeya Badu na Ally Jamwaka, Jeff

4 comments:

Anonymous said...

washabiki tutafurahi kuwasikia wazee wa kazi katika sherehe za sabasaba.
Hatujapewa habari za Dr Ufuta kama atajihusisha na mipangilio ya sherehe,niliona katika blogu hii kama yupo anatumika kama mlinzi.

Mickey Jones

Perez said...

Mwambieni Mzee King Kikki arekodi basi zile nyimbo zake anazopiga La Prima? Ni nzuri sana zile.

"...uniitie Antoe antoe......Mulumba mwana mama...,
Nakupenda kamaa wewe, kama wewe,.."
AU

".... ulianza toka zamani kunitafuta mie oo....
Kelele za nini mamam eee, Kaloleee..."

SIMON KITURURU said...

Hii kitu irekodiwe kwaajili ya Histori kama inawezekana.

Anonymous said...

Utamu kunoga tukumbuke enzi zetu. Ni kweli alivyoshauri mchangiaji mmoja lirekodiwe na ikiwezekana vyombo vya habari vya electronic vialikwe kwa ajili ya live or recorded transmission.. Huree waandaaji

Adbox