Jukwaa la wapenzi wa mambo ya muziki wa Tanzania-

Breaking

Friday, February 26, 2010

Mzee Hamisi Kitambi Hatunae Tena


Mzee Hamisi Kitambi hatunae tena. Amefariki tarehe 26 Feruary 2010, na kuzikwa tarehe 27 February 2010. Mzee Hamisi Kitambi kwa mara ya mwisho alikuwa bendi ya Msondo Group. Mungu Amlaze pema peponi.(Picha kwa hisani ya ya www.issamichuzi.blogspot.com)

2 comments:

John Mwaipopo said...

kateseka sana. atakumbukwa daima. mungu amlaze pahala pema peponi. amen.

Anonymous said...

KAZI YAKE ITABAKI NA KUKUMBUKWA KATIKA HISTORIA YA MUZIKI WA TANZANIA
MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONO - AMIN

Adbox