WANAMUZIKI WA TANZANIA IS A TANZANIA MUSIC BLOG
Siku maalumu ya Mavokali ni leo Ijumaa pale Mawasiliano Park Ubungo, jirani kabisa na jengo yalipo Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania yaani TCRA.Kuanzia saa mbili kamili usiku na Twanga Pepeta Kisima cha Burudani.
No comments:
Post a Comment