YOUTUBE PLAYLIST
Wednesday, July 27, 2022
Tuesday, July 26, 2022
DEKULA BAND YASHIRIKI FEST AFRIKA FESTIVAL YA FINLAND
![]() |
| Dekula Kahanga Vumbi na Menard Mponda mara baada ya onyesho la nguvu la Dekula Band |
Bendi kongwe yenye maskani yake katika jiji la Stockholm kule Sweden, siku ya tarehe 18 Juni 2022 ilitumbuiza katika tamasha la Kimataifa la Fest Afrika Festival, lililofanyika Tampere Finland.
Tamasha hili linalo endeshwa na Mtanzania anaeishi Finland, Bwana Menard Mponda, ni tamasha la miaka mingi, ambalo limewahi kualika hata bendi kadhaa kutoka Tanzania zikiwemo Yamoto Band na Extra Bongo Band.
Dekula Band jukwaani.
Kwa habari zaidi za tamasha la Fest Afrika Festival ingia
FESTAFRIKA
Subscribe to:
Posts (Atom)
SAFARI ZANGU NA BENDI sehemu ya kwanza.
TANCUT ALMASI ORCHESTRA wakiwa Jamhuri Stadium Dodoma Sikumbuki ni safari ngapi za kimuziki nilizowahi kuzifanya hapa nchini katika m...
-
Utaratibu wa bendi hapa nchini ulifuata sana utaratibu wa bendi za nje kutokana na muziki wa bendi kuwa ni wa mapokeo. Hapa naongelea aina ...
-
Mara baada ya kutoa ule wimbo maarufu wa Kisambaa Shakaza, Eddy Sheggy mwenyewe na Wasambaa wengine wakaanza kuitwa Shakaza. Eddy Sheggy ali...
-
TANCUT ALMASI ORCHESTRA wakiwa Jamhuri Stadium Dodoma Sikumbuki ni safari ngapi za kimuziki nilizowahi kuzifanya hapa nchini katika m...





