Wanamuziki Tanzania
WANAMUZIKI WA TANZANIA IS A TANZANIA MUSIC BLOG
Pages
(Move to ...)
Home
▼
Monday, August 29, 2022
UZURI NA UBAYA WA TEKNOLOJIA ZA KISASA ZA KUREKODI MUZIKI
›
Tape recorder ya studio miaka ya 90 kurudi nyuma Kwa manamuziki ambaye uliewahi kurekodi miaka ya 90 na kurudi nyuma, hakika studio za sik...
Wednesday, August 24, 2022
NIMEPITWA NA WAKATI NGOJA NIKAPUMZIKE
›
Nilipokuwa mdogo nilikuwa naona vibabu vya mtaani kwetu viko vya aina mbili, aina ya kwanza ilikuwa vibabu ambavyo vilikuwa havicheki kila...
1 comment:
Tuesday, August 23, 2022
SEHEMU YA RIPOTI YA TAMASHA LA BENDI LA TANZANIA LIVE MUSIC FESTIVAL 2012
›
Baada ya matayarisho mbalimbali yaliyochukua miezi mitatu hatimae tarehe 28 September 2012, bendi ziliweza kuanza kupanda jukwaani kufanya m...
Monday, August 22, 2022
KUWA MWANAMUZIKI ZAMANI HAIKUWA LELEMAMA
›
Vijana Jazz Band tukielekea Ifakara Kuwa mwanamuziki katika miaka ya tisini na kurudi nyuma haikuwa lelemama, ilikuwa kazi ngumu, iliyokuw...
1 comment:
Sunday, August 21, 2022
KUJIBRAND SIO DHANA MPYA
›
Katika zama hizi ni kawaida kabisa kusikia wanamuziki wa kizazi kipya wakisema wanaji‘brand’. Kujibrand ni kujitengeneza kwa aina fulani i...
1 comment:
Friday, August 19, 2022
KIINGILIO KINYWAJI NINI HATIMA?
›
Ni kawaida kabisa siku hizi kukuta bango likitangaza onyesho la kundi la muziki, na chini kukawa na maneno, kiingilio kinywaji au hata mar...
3 comments:
Thursday, August 18, 2022
USIKU WA RHUMBA MOROGORO 27 AUGUST UNAKOSAJE????
›
‹
›
Home
View web version