Pages

Thursday, April 15, 2010

Swali la Leo

Mwanamuziki gani huyu aliyeshika gitaa?

5 comments:

  1. Anonymous14:40

    nadhani ni Hassan Dalali.

    ReplyDelete
  2. Hapana huyu alikuwa akipiga second solo katika Bendi moja maarufu, ana mwanae ni mcheza show wa Twanga Pepeta

    ReplyDelete
  3. Anonymous18:03

    John, Je nickname yake ilikuwa ni Mick Jagger from Changombe??? Tegua kitendawili: Nakupa mji...Iringa au DAR (chagua mwenyewe...huyu jamaa looks familiar lakini I just can't put a name or place to his face).

    ReplyDelete
  4. Nachagua Iringa. Mick Jagger wa Chang'ombe alikuwa mpiga bezi wa Rifters. Huyu anaitwa Salim Willis, alikuwa mwanamuziki mpiga gitaa Afro 70

    ReplyDelete
  5. Anonymous21:08

    Thanks. Nimekwishamkumbuka. Miaka 35-38 ni muda mrefu (na ukichukulia kuwa "uzee" hausaidii kumbukumbu).

    ReplyDelete