Afro 70 wakiwa Namanga baada ya kutoka Nairobi kupata vyombo vipya. Walilazimika kupiga Namanga ili wapite na vyombo bila bughudha. Unawakumbuka majina?
Majina? Yes some of them. Patrick Balisidya, Steven Balisidya,na Patrick Dick Unga (huyu alikuwa mbele yangu darasa moja Azania Secondary School sijui siku hizi yuko wapi.
Majina? Yes some of them. Patrick Balisidya, Steven Balisidya,na Patrick Dick Unga (huyu alikuwa mbele yangu darasa moja Azania Secondary School sijui siku hizi yuko wapi.
ReplyDeleteBig up Afrosa...nauliza, ivi Rosa alienda shule baada ya ule ujumbe?
ReplyDeleteRoza nenda shule ulikuwa wimbo wa Safari Trippers
ReplyDeleteNinatizama dirishani oh, naona mvua yanyesha oh....
ReplyDeletena hapa nafanya hivyo hivyo, nina appointment na demu wangu siku ya leo, ila mvua inanitatiza tu. Ah Afrosa, sikia moto wa mwaka 73 huo!
John,
ReplyDeleteHapa namtambua Patrick, Steven na Salim, tafadhali naomba unifadhili orodha kamili ya hiki kikosi cha shemeji zako.
Balozi, huyu mdau wa April 21, 2010 10:35 AM....kweli ananiacha hoi kwa hayo maneno yake hapo juu.
ReplyDelete