Pages

Monday, February 1, 2010

Tulikuweko tupo tutakuweko


Enzi za ujana si mwingine ni Dr Remmy Ongala wakati huu akiwa na Orchestra Makassy

4 comments:

  1. WE WAJAMENI KWELI TUMETOKA MBALI SANA, DUH MZEE MZIMA VERE YANKIII

    ReplyDelete
  2. Moses Gasana18:12

    ha ha haaaaaa raha sana kumwona Dr.Ramadhani Mtoro Ongala akiwa kijana enzi hizooooo.Ahsante Kitime.

    ReplyDelete
  3. Uncle hapa ungetujuvya style hii ya kuvaa ilikuwaje ama iliitwaje?
    Maana ni kama enzi za kubeba "zege" wenyewe wakiita Nondo na mapokopoko mengine mikononi. Alikuwa "amechafuka" kwa madini vidoleni.
    Hahahahaaaaaaaaaaaaa
    One of the greatest shot of "DR" Remmy
    Thanx again Uncle

    ReplyDelete
  4. nazani hata kiswahili kilikuwa bado taabu kwa remmy ongala. kweli ya kale dhahabu.

    ReplyDelete