Pages

Saturday, February 27, 2010

Mzee Hamisi Kitambi Hatunae Tena


Mzee Hamisi Kitambi hatunae tena. Amefariki tarehe 26 Feruary 2010, na kuzikwa tarehe 27 February 2010. Mzee Hamisi Kitambi kwa mara ya mwisho alikuwa bendi ya Msondo Group. Mungu Amlaze pema peponi.(Picha kwa hisani ya ya www.issamichuzi.blogspot.com)

2 comments:

  1. kateseka sana. atakumbukwa daima. mungu amlaze pahala pema peponi. amen.

    ReplyDelete
  2. Anonymous18:38

    KAZI YAKE ITABAKI NA KUKUMBUKWA KATIKA HISTORIA YA MUZIKI WA TANZANIA
    MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONO - AMIN

    ReplyDelete