tag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post8684970858662798943..comments2023-10-16T19:13:04.600+03:00Comments on Wanamuziki Tanzania: DiscoUnknownnoreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-79413799633969045272010-07-17T11:21:00.998+03:002010-07-17T11:21:00.998+03:00Haswa ni Joseph Kusaga katika enzi hizo,ukianzia k...Haswa ni Joseph Kusaga katika enzi hizo,ukianzia kwenye parties mpaka kufikia New Africa na kutawanya disco lake sehemu mbalimali ikiwemo Arusha na Morogoro Hotel.Mungu akuzidishie kwa uatafutaji toka huko ulikoanzia.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-25347522283312286982010-06-20T14:34:30.429+03:002010-06-20T14:34:30.429+03:00Huyu ni Bwana Joseph Kusaga mkurugenzi wa Clouds M...Huyu ni Bwana Joseph Kusaga mkurugenzi wa Clouds Media Group. Kweli ametoka mbali maana ninamkumbuka dakika za mwisho mwisho pale 77 hotel tulikuwa tunagombania kumsukuma katika gari yake ya enzi hizoo VW ili atambue uwepo wetu na kisha kutupatia namna ya kuishi kwa siku hiyo. Mungu akubariki sana JosephAnonymousnoreply@blogger.com