tag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post865737697509761774..comments2023-10-16T19:13:04.600+03:00Comments on Wanamuziki Tanzania: DrumsUnknownnoreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-69323188048724367052010-07-21T11:57:51.719+03:002010-07-21T11:57:51.719+03:00Mdau hapo juu nakubaliana nawewe inapokuja upigaji...Mdau hapo juu nakubaliana nawewe inapokuja upigaji stadi wa drums. Huyu bwana Kawalee Mutimwana anajua anachofanya. Hata huyu ndugu anaepiga tumba pia anajua kazi yake. Rythm inapigwa vizuri kwenye huu wimbo na ipo kwenye mfumo wa second solo. Solo linapigwa kwa ufundi na hasa pale anapopiga kwa kushika nyuzi mbili mbili kabla ya chorus. Keyboard kimepigwa vyema. Hapa kimetumika namna ambavyo gitaa la rythm linapaswa kupigwa hivyo hakukuwa na makelele. Na nakiri ujumbe wa mziki upo juu maana unawakumbuka mashujaa wa Africa sio kutaja taja mapedeshee.

Tatizo langu kubwa lipo kwenye waimbaji. Ukiachilia mbali huyu bwana anaepiga second solo (aliyevaa t-shirt ya jeshi) vocalist wengine wanautata. mmoja wapo anaimba off-key kabisa. huyu mwingine anaitikia kwa kusita kabla ya chorus na inapofika chorus lead vocal yake inashindwa kupata timing nzuri anajikuta akiacha beat (drums). Ndio maana nalia kila siku na akina mzee Kitime, hebu fundisheni vijana muziki. Huu wimbo wanaoimba ni mzuri mno ila unaharibiwa na vitu vidogo vidogo nilivyosema. KWanini vijana hamtaki kwenda shule ya mziki. Kama hamuwezi basi kaeni kwanza makanisani mjifunze kwenye kwaya kama mimi au misikitini kwenye kaswida kama Banza Stone kabla ya kuutaka uanamuziki.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-75812034545436113842010-07-20T21:26:54.637+03:002010-07-20T21:26:54.637+03:00Kwa Kuongezea wadau wa blog hii ya Balozi Kitime:
...Kwa Kuongezea wadau wa blog hii ya Balozi Kitime:
Ukitaka kuona jinsi mpiga drums wa muziki wa dansi anavyotia mashamushamu ktk miziki yetu ya dansi ya Kiswahili tembelea webusaiti ya Youtube halafu search: 'Track4.mp4' hapo utawaona kina Kawelee Mutimwana (ex- Tancut Almasi)na timu nzima wakifanya mambo, maana siku hizi muziki proper wa dansi ni adimu kuuona 'live' .Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-24312032679852412462010-07-19T06:00:59.285+03:002010-07-19T06:00:59.285+03:00Asante saana Uncle kwa kufafanua hili.
Tukingali p...Asante saana Uncle kwa kufafanua hili.
Tukingali pamoja na tunaendelea kufuatilia, kujifunza na kuheshimu kazi ya hawa wengi uwazungumziao humu
BARAKA KWAKOMzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.com