tag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post6398271618253117975..comments2023-10-16T19:13:04.600+03:00Comments on Wanamuziki Tanzania: Jerry Nashon aka DudumiziUnknownnoreply@blogger.comBlogger11125tag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-12907855441072808712015-04-24T01:00:19.103+03:002015-04-24T01:00:19.103+03:00Jaman ingawa kiumri Ni mdogo lkn Leo mmenikumbusha...Jaman ingawa kiumri Ni mdogo lkn Leo mmenikumbusha mbali saaana.kwny msiba wa jerry nashon nilikuwepo ingawa nilikuwa Na miaka 8 hv huko kwetu musoma Na kumjua kwang jerry Ni kutokana Na mzee wangu alipenda Sana kumtaja kila nyimbo zake zilipopigwa redio tanzaniaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-79464756963946357922010-11-24T18:03:06.348+03:002010-11-24T18:03:06.348+03:00Hapana Jerry hakufa kwa ajali aliugua na kufariki,...Hapana Jerry hakufa kwa ajali aliugua na kufariki, lakini hiyo ajali aliwahi kupata miezi kadhaa kabla kifo chakejfkhttps://www.blogger.com/profile/09986950581734789613noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-13372222225896012052010-11-23T16:36:57.650+03:002010-11-23T16:36:57.650+03:00Jerry alikufa kwa ajali jijini Dar akiwa Vijana Ja...Jerry alikufa kwa ajali jijini Dar akiwa Vijana Jazz na akasafirishwa na kwenda kuzikwa kwao Musoma, mwaka sikumbukiAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-14479947760392773002010-02-24T21:20:26.820+03:002010-02-24T21:20:26.820+03:00Wakati Jerry yuko Vijana BIma Lee ilikuwa imekwish...Wakati Jerry yuko Vijana BIma Lee ilikuwa imekwisha kufa. Na Jerry alifia Vijana na mwili wake kusafirishwa kwenda Musoma na Umoja wa Vijanajfkhttps://www.blogger.com/profile/09986950581734789613noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-74122554297889515292010-02-24T10:05:27.239+03:002010-02-24T10:05:27.239+03:00Mimi nakumbuka Jerry Alitoka Vijana jazz na kuingi...Mimi nakumbuka Jerry Alitoka Vijana jazz na kuingia Bima lee
Mdau
Kisiju pwaniAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-18734273368240634942010-02-20T21:38:03.245+03:002010-02-20T21:38:03.245+03:00Hello mzee Kitime habari za bongo mimi nilikuwa na...Hello mzee Kitime habari za bongo mimi nilikuwa na swali tofauti kidogo huku tukisubili habari za Hamisi Kitambi najua fika unazishugulikia. swali langu ni juu ya hiyo bendi yenu ya Kilimanjaro (njenje)hivi kwanini huwa mnachelewa kutoa nyimbo mpya. kwani hii albam yenu ya Gere mimi nafikili huu ni mwaka 5 au 6 na hata ya kinyanyau ilikuwa hivyo hivyo kabla hamjatoa ya gere manake hata kama mlikuwa mnasubili mauzo hivi sasa nafikili hamna anae nunua tena hizo Albam labda sasa mtoe video ya gere mnaweza kuuza. sasa swali langu ni kwanini mnachelewa kutoa Albam mpya? kama mnataka msaada kwa wapenzi wenu ili mrekodi tunaomba mtufahamishe ili nasi tushiriki kwani mimi ni mmoja wa njenje famili.
Wako JamesAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-46972431395252043502010-02-20T11:45:36.058+03:002010-02-20T11:45:36.058+03:00Nimekupa vizuri mzee Kitime inawezekana alienielez...Nimekupa vizuri mzee Kitime inawezekana alienieleza alikuwa hajui kama haupo tena ktk uongozi. Sasa mzee kwa tahazma na upendo tunaomba utupe taarifa za huyu mzee mwenzio usingeje hadi afe kama kina Dudumizi ndio uweke taarifa zake.
Mdau UKAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-12959478839509658722010-02-20T08:24:52.450+03:002010-02-20T08:24:52.450+03:00Kitime aliacha uongozi na uanachama wa Chamudata S...Kitime aliacha uongozi na uanachama wa Chamudata SEPTEMBER 1999. hujapata taarifa sahihijfkhttps://www.blogger.com/profile/09986950581734789613noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-51836713309713037952010-02-19T22:35:38.978+03:002010-02-19T22:35:38.978+03:00Hapa kweli kuna gundu nilitegemea leo ningekuta ha...Hapa kweli kuna gundu nilitegemea leo ningekuta habari za Hamis kitambi kwani kunajamaa juzi alinigusa sana alivyotoa taarifa za mzee wetu kwani sikuwa najua kama alipata ajali na kutelekezwa na habari nilizozipata kwa jamaa mwingine baada ya kumuelezea akaniambi kuwa Mzee Kitime ni kiongozi wa chamudata sasa hebu tupe habari huyo mzee nasi tujue
mdau wa ukAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-2104786313913361332010-02-19T17:15:25.040+03:002010-02-19T17:15:25.040+03:00Kakaaa umenikumbusha enzi za wimbo wa immaculata (...Kakaaa umenikumbusha enzi za wimbo wa immaculata (RIP) Jerry Nashon 'Dudumizi'

Mdau

MuddyAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-34016624480797669262010-02-19T13:18:56.692+03:002010-02-19T13:18:56.692+03:00Jerry Nashon alikuwa akijulikana kama Dudumizi. Ja...Jerry Nashon alikuwa akijulikana kama Dudumizi. Jamaa alikuwa na sauti nzuri Wimbo wa "Theresa" aliouimba na Selemani Mbwembwe wakiwa vijana ulinivutia sana. Jamaa alikuwa na sauti nzuri kiukweli na nimeshamwona akiimba na BIMA LEE pale "Hunters Club" maeneo ya Ubungo sasa hivi ni Kanisa la walokole.Baraka Mfunguohttps://www.blogger.com/profile/02813209638057187106noreply@blogger.com