tag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post5512153068358326843..comments2023-10-16T19:13:04.600+03:00Comments on Wanamuziki Tanzania: Mayaula Mayoni hatunae tenaUnknownnoreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-60639749793035572912010-06-01T00:45:39.559+03:002010-06-01T00:45:39.559+03:00Mdau wa 'Bakulutu'. Nimekuelewa sasa. Lazi...Mdau wa 'Bakulutu'. Nimekuelewa sasa. Lazima nikiri kuwa hata mimi niljaribu kuzisikiza thru mixpod nikashindwa. Lakini kisingizio changu ni kuwa mimi ni mtu wa kizazi cha zamani. Mimi mwenyewe.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-84479038089025618962010-05-31T03:13:02.671+03:002010-05-31T03:13:02.671+03:00Mdau (Time 09:56 uliyejitahidi kusaidia query yang...Mdau (Time 09:56 uliyejitahidi kusaidia query yangu kwanza nashukuru kwa jitihada zako! Lakini nataka kukuambia sikuwa na maana hizo "nyimbo zenye picha" kwa courtesy ya 'YouTube', that's of course a straight forward to play them.

Labda kukuelewesha zaidi, nilikuwa nataka kujua jinsi ya ku-play nyimbo alizo-post Mh Kitime through 'MixPod' kulia kwa blog yake! Na kwa taarifa yako leo hata hizo nyimbo sizioni kabisa i.e 'MixPod' icon is not there!

Mdau wa 'Bakulutu'Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-33007242242238887132010-05-30T19:56:22.913+03:002010-05-30T19:56:22.913+03:00Mimi nimeweza kusikiza wimbo huo na nyinginezo: it...Mimi nimeweza kusikiza wimbo huo na nyinginezo: it's simple. Je umuona huo mshale katikati ya picha? (1)Hakikisha kipaza sauti chako kiko "on". (2)Sogeza "cursor" yako kwa kutumia kipanya ("mouse") hadi kifikie kwenye mshale huo. Bofya shoto ("left-click") mara moja au mbili juu ya mshale huo. (3) Sasa tulia usikize muziki kipande hicho. Kama hukufanikiwa basi kompyuta yake in walakini: Tafahdali muone fundi wa kompyuta. Mimi mwenyewe.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-40944452915258478342010-05-30T15:01:36.787+03:002010-05-30T15:01:36.787+03:00R.I.P!R.I.P!Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-71969112646314334002010-05-30T04:24:39.208+03:002010-05-30T04:24:39.208+03:00Mh Kitime, wadau wakikuliza maswali basi uwasaidie...Mh Kitime, wadau wakikuliza maswali basi uwasaidie kujibu! Au mpaka tuwe 'waheshimiwa fulani'?

Hapo awali nimekuuliza swali jinsi ya kupata nyimbo ulizoziweka kulia kwa blog yako! In fact, hata kusikiliza nimeshindwa! Kuuliza si UJINGA! Tell me what to do! Otherwise, if you don't need people to have/listen them then don't put them there!

Mdau wa muziki wa 'Bakulutu'.Anonymousnoreply@blogger.com