tag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post5399894417316310848..comments2023-10-16T19:13:04.600+03:00Comments on Wanamuziki Tanzania: Maneno Uvuruge 2Unknownnoreply@blogger.comBlogger7125tag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-9013723318432869622010-09-19T08:09:39.747+03:002010-09-19T08:09:39.747+03:00Kama sikosei taarifa za Shaaban Yohana 'Wanted...Kama sikosei taarifa za Shaaban Yohana 'Wanted' zimo humu na nakumbuka post hiyo ilikuwa na wachangiaji wengi sana na iliibua mjadala mzito. Namshauri Anonymous 00:51 aangalie katika older posts.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-81831461461547374982010-09-16T10:51:13.373+03:002010-09-16T10:51:13.373+03:00Mwakitime naomba ukipata profile ya Shabani Yohana...Mwakitime naomba ukipata profile ya Shabani Yohana Wanted alipokuwa Vijana Jazz utuwekee humu, nadhani katika wapiga magita ya kuongoza alikuwa balaa. Na ule wimbo wa Top Queen na Zaituni za Saga Rhumba alipiga solo nani?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-80700341166455829222010-09-15T09:42:21.866+03:002010-09-15T09:42:21.866+03:00John!
Hivi zama zile kuhamia bend kwa ushawishi ku...John!
Hivi zama zile kuhamia bend kwa ushawishi kulifuatiwa na mikataba ya kimaandishi? ama ni mdomotu! ama pengine kuaminiana?
Nimefurahi pia kuliona jina la Kalamazoo Nyembo mmoja kati ya wapulizaji wazuri wa sax wa enzi hizo. Je waweza kujuwa yuko wapi nyakati hizi na anashiriki muziki ama ni mstaafu?
Pia kama utapata nafasi hebu siku moja utuletee historia ya OMACO maana kuna weza kuwa na lakujifunza hapo kwa wadau wa muziki.
Kila la kheri katika kuendeleza blog hii makini. Vipi Blog ya njenje itakuwa hewani liniiiAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-35531206367264274352010-09-15T09:34:56.272+03:002010-09-15T09:34:56.272+03:00Dah! Huyu jamaa kumbe ana historia ndefu saaaana k...Dah! Huyu jamaa kumbe ana historia ndefu saaaana katika muziki. Kumbe nilichokuwa nakifahamu kuhusu maisha ya muziki ya Maneno Uvuruge ni sawa na tone la maji katika bahari. Shukrani nyingi Bwana Kitime.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-9681253967099117382010-09-15T08:44:20.227+03:002010-09-15T08:44:20.227+03:00Mzee Kitime ni kweli kabisa zama za kupiga muziki ...Mzee Kitime ni kweli kabisa zama za kupiga muziki wa sifa zimepitwa na wakati, sasa ni muziki kibiashara;

Sidhani kama mwanamuziki anaweza kuvumilia kukaa kwenye bendi moja kama mambo yake hayaendi sawia, hata hivyo wengine ni tooooo much.

Tusema wanamuziki kama Said Mabera (tangu aipoingia Msondo sijawahi kusikia amechomoka na kurudi), Joseph Bernado (tangu aipoingia Sikinde sijawahi kusikia amechomoka na kurudi), na wengineo; tuseme hawa wameridhika kimaisha au wameamua tu kukubali matokeo

KisondellaKisondella, A.Ahttps://www.blogger.com/profile/17748162655418423914noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-60802899359769030212010-09-15T07:40:03.327+03:002010-09-15T07:40:03.327+03:00Hawa uliowataja wana sababu mbalimbali za kuhamaha...Hawa uliowataja wana sababu mbalimbali za kuhamahama, wengine ni mabingwa wa kufukuzwa kutokana na tabia zao. Kwa hiyo kila mmoja ana hadithi yake. Hata Maneno alijikuta anafanya kazi sana lakini malipo kidogo,hivyo kuhama hapo ni lazima.jfkhttps://www.blogger.com/profile/09986950581734789613noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-7165094316671698152010-09-15T07:23:01.464+03:002010-09-15T07:23:01.464+03:00Mzee Kitime, Historia nzuri sana ya kuruka huku na...Mzee Kitime, Historia nzuri sana ya kuruka huku na kule kwa Maneno Uruvuge. Hii inanipa nafasi kuwataja baadhi ya wanamuziki ambao walikuwa au wanaongoza kwa kuhama hama bendi.

1) Marehemu Eddy Sheggy
2) Marehemu Adam Bakari
3) Banza Stone
4) Mhina Panduka
5) Hussein Jumbe
6) Ally Choki

Ni wachache sana ambao wanadai kutafuta maendeleo lakini ukweli dhahiri ni masilahi

Kisondella - from Mafinga (Iringa)Kisondella, A.Ahttps://www.blogger.com/profile/17748162655418423914noreply@blogger.com