tag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post5328683099751331827..comments2023-10-16T19:13:04.600+03:00Comments on Wanamuziki Tanzania: Wanamuziki kutoka KongoUnknownnoreply@blogger.comBlogger9125tag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-48006813885387578132010-02-19T10:48:30.187+03:002010-02-19T10:48:30.187+03:00Michuzi unashtua mioyo ya wengi ukianza kutaja Ga...Michuzi unashtua mioyo ya wengi ukianza kutaja Gateaways. Sina uhakika kama Santa Fe walikuwa ndiyo bendi ya kwanza ya Wakongo kuja nchini, japo ntatoa jibu la uhakika zaidi muda si mrefu, lakini ikumbukwe kuwa wanamuziki kutoka Kongo walianza kuja upande huu mara baada ya mauaji ya Lumumba mwanzoni mwa miaka ya 60. Japo kwa mwanzo walianza kwa kuja mmoja mmoja na si kama bendi.jfkhttps://www.blogger.com/profile/09986950581734789613noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-22458274675037768752010-02-18T08:31:15.101+03:002010-02-18T08:31:15.101+03:00Fanta wangu ulikuwa utunzi wa Kalala Mbwebwe, aliu...Fanta wangu ulikuwa utunzi wa Kalala Mbwebwe, aliurekodi mara ya kwanza Kenya na baadae akawa anaupiga Tancut almasi na mara ya mwisho ulirekodiwa na Papy Nguza. Kalala alihamia Tancut Iringa na hata baada ya Bendi hiyo kufa aliendelea na endi za Iringa kama VICO Stars na Ruaha International hadi alipofariki.jfkhttps://www.blogger.com/profile/09986950581734789613noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-68145350851849797902010-02-18T05:37:49.464+03:002010-02-18T05:37:49.464+03:00Kitime,
ahsante sana kazi nzuri unayotupa juu ya m...Kitime,
ahsante sana kazi nzuri unayotupa juu ya muziki 'halisi' wa Tanzania, ni elimu tosha tunayopata toka kwako na kwa wachangiaji.
...Leo nina swali dogo; hivi wimbo wa FANTA WANGU(original) uliimbwa nchi gani? kama unaweza tafadhali sana tuwekee clip yake tufaidike!Zungu Wa Mbizinoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-77253861496787207772010-02-18T01:48:33.698+03:002010-02-18T01:48:33.698+03:00JFK naomba unikumbushie enzi za Santa Fe pale juu ...JFK naomba unikumbushie enzi za Santa Fe pale juu Gateaways. Je wale si ndio walikuwa wanamuziki wa kwanza kuja Tanzania toka Kongo?MICHUZI BLOGhttps://www.blogger.com/profile/04130017808001951362noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-64869042392994997972010-02-17T15:55:28.681+03:002010-02-17T15:55:28.681+03:00Kwanza nisahihishe naitwa KITIME,huwa nakosa raha ...Kwanza nisahihishe naitwa KITIME,huwa nakosa raha kuitwa Kitine. Sikumbuki Bif kati ya watu hao wawili, ninachokumbuka ni ushindani mkali wa bendi zao. Bendi ya Maquis ya Nguza,makao yake makuu yalikuwa White House Ubungo, wakati Kasheba na Orchestra Safari Sound walikuwa Safari Resort Kimara, ukaribu huo uliwafanya kila mmoja ajitahidi ili apate watu. Hivyo basi wakati Maquis walipoanza mtindo wao wa Ogelea Piga Mbizi, OSS wakanzisha mtindo wa chunusi,kuwa ukiogelea utakamatwa na chunusi, wapenzi wao walikuwa wa ukweli kwani hata muziki wa bendi hizi ulikuwa tofauti. Na Ndala Kasheba aliwahi kupigia Maquis wakati wa Nguzajfkhttps://www.blogger.com/profile/09986950581734789613noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-11120569621816209142010-02-17T15:35:00.234+03:002010-02-17T15:35:00.234+03:00John Kitine unaweza kutufafanulia 'bifu' l...John Kitine unaweza kutufafanulia 'bifu' la kimuziki baina ya mzee wa dazani ndala kasheba na nguza viking. story za uswahilini sasa hazina nafasi tena.
tafadhali.John Mwaipopohttps://www.blogger.com/profile/11708584279197669683noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-67114369937498841372010-02-14T16:00:18.909+03:002010-02-14T16:00:18.909+03:00Kaka Kitime hongera sana kwa kutupa vitu kama hivi...Kaka Kitime hongera sana kwa kutupa vitu kama hivi.Pia na wengine wanaotoa maoni nawapongeza maana wanaongeza katika jungu hili la ufahamu wetu wa muziki
Moses Gasana
City University LondonMoses Gasananoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-84335156374349763532010-02-11T22:25:27.679+03:002010-02-11T22:25:27.679+03:00Ni kweli Marehemu Mzee Wendo anachukuliwa kwa umuh...Ni kweli Marehemu Mzee Wendo anachukuliwa kwa umuhimu wa juu na wanaoijua historia ya muziki wa Kongo. Yeye na kundi lake ndo walikuwa watu wa kwanza kuanza kutoa santuri katika label ya Loningisa kwenye mwaka 1947.jfkhttps://www.blogger.com/profile/09986950581734789613noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-32084459220263006742010-02-11T20:27:16.084+03:002010-02-11T20:27:16.084+03:00Hapa kitine umenikumbusha kitu kimoja, ingawa umri...Hapa kitine umenikumbusha kitu kimoja, ingawa umri wangu si mkubwa sana lakini nimebahatika kusoma kidogo kuhusu historia ya muziki wa Congo, Huyu jamaa uliyemuelezea humu ndani WENDO COLOSAY wenyewe walikuwa wakimwita jina la utani WENDOSOR ndio alikuwa mmoja wa waasisi wa muziki wa Congo.Webmaster Kalley A.Phttps://www.blogger.com/profile/15728703189928021068noreply@blogger.com