tag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post3460146112959775371..comments2023-10-16T19:13:04.600+03:00Comments on Wanamuziki Tanzania: Historia za mfumo wa BendiUnknownnoreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-81004959965925934792010-02-17T08:16:07.377+03:002010-02-17T08:16:07.377+03:00Ubunifu kwa wengi ni kitu kigumu na utashuhudia h...Ubunifu kwa wengi ni kitu kigumu na utashuhudia hilo kuanzia mtaani. Ukianzisha kufuga kuku watu wakaona kama unafanikiwa utakuta mtaa mzima una banda la kuku pia.<br /><br />Na naamini kwa kufuata hata mfumo/ arrangements za miziki mingi ya asili Tanzania naamini kuna utajiri mkubwa ambao bado hatujauona katika tika steji za muziki wa sasa ambazo huweza kuzaliwa.<br /><br />Nami kama Mkuu Baraka Mfunguo, nakiri pia na kaugonjwa kakupita katika blogu hii mara kedekede.Simon Kitururuhttps://www.blogger.com/profile/08443099916542057958noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-61155145876533403402010-02-16T08:11:05.520+03:002010-02-16T08:11:05.520+03:00Safi sana mkuu. Ninajifunza mengi sana kupitia blo...Safi sana mkuu. Ninajifunza mengi sana kupitia blogu hii. Napongeza sana uamuzi wa kuianzisha kwani ni fursa nzuri kwa kizazi chetu cha sasa nami nikiwa mmojawao kujua ni wapi tulipotoka. Ni lazima nipite hapa walau mara tatu kwa siku.Baraka Mfunguohttps://www.blogger.com/profile/02813209638057187106noreply@blogger.com