tag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post3381440399468895398..comments2023-10-16T19:13:04.600+03:00Comments on Wanamuziki Tanzania: Zahir Ally ZorroUnknownnoreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-5681908423185221472010-05-13T15:34:01.188+03:002010-05-13T15:34:01.188+03:00Eee bwana Kitime umenikumbusha mbali sana huyu Jam...Eee bwana Kitime umenikumbusha mbali sana huyu Jamaa namkubali sana.
Umenikumbusha PHOTO ALBUM Mwanangu.

"... Wamenambia mambo yako mabaya ehee...,
Wamenieleza matatizo ya mume wako ee,
Na kisa cha we Sheri Zinduna ee,
Kufika kupewaa talakaa,
Photo album, imeleta manenoo...,
Katikati ya Daresalama
Kisa ni picha ilopigwa zamani,
Katikati ya mji wa Mwanza..."

Yaani we acha tu.Pereznoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-78073836690454747922010-05-13T12:20:15.723+03:002010-05-13T12:20:15.723+03:00Mkuu,
Mdau Marubaini kazungumzia suala la Zahir A...Mkuu,

Mdau Marubaini kazungumzia suala la Zahir Ali kuchelewa kwenye onyesho na kuamriwa kutopanda jukwaani na Lt. Colonel Lameck Meena. Tabia ya wanamuziki kuchelewa kwenye maonyesho naomba katika mada zako iwe ni moja kati ya mada za kujadiliwa.

Asante.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-10948938548983110432010-05-12T15:12:25.892+03:002010-05-12T15:12:25.892+03:00Anatisha huyu mzee ...bado yuko kwenye gemu hadi l...Anatisha huyu mzee ...bado yuko kwenye gemu hadi leoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-50010264521261363642010-05-12T13:06:41.076+03:002010-05-12T13:06:41.076+03:00Huyu Bwana Ana kipaji sana. Mimi nakumbuka sana kw...Huyu Bwana Ana kipaji sana. Mimi nakumbuka sana kwa wimbo wake wa 'kisa cha photo album'.

Baadae alikuja kuanzisha bendi nyingine ya Jeshi 'JKT Ruvu'. Siku ya kuzindua kundi hili ilikuwa pale hall la JKT mgulani. Nakumbuka Zahir alichelewa kufika na kulikuwa na waalikwa waheshimiwa wengi wakuu wa jeshi. Mkuu wa JKT Ruvu - Lt. Canal Lameck Meena alitoa amri Zahir asipande jukwaani wala kupiga kabisa siku hiyo. Nilimwona akilalamika sana pale mlangoni kwa kuingilia Mgulani JKT hall karibu na geti la kutoka kambini upande wa uwanja wa taifa, ilikuwa mwaka 1986.

by MarubainiAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-56880324235899011172010-05-11T19:29:03.980+03:002010-05-11T19:29:03.980+03:00Balozi hapa umenena kweli kweli. Mimi bwana huyu b...Balozi hapa umenena kweli kweli. Mimi bwana huyu bwana namkubali, yaani amekamilika katika kila idara. Utunzi ni mtunzi mzuri sana, na sauti yake iko fiti hasa anapoimba nyimbo zake za hisia. Kitu kinachonisikitisha kuhusu Zorro ni kuel kujiunga na bongo fleva, ama kupiga muziki usio na akili. Huyu Zahir Ally anastahili kuwa na bendi yake pekee kwani ana kipaji cha aina yake. Namkumbuka sana kwa nyimbo zake kama Tikisa, Kisura, pamoja na Tabia ya Mapenzi. Bwana Zorro uko juu, achana na fleva zinakulostisha.Anonymousnoreply@blogger.com