tag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post3072288103336201777..comments2023-10-16T19:13:04.600+03:00Comments on Wanamuziki Tanzania: The Upanga Story-AutographsUnknownnoreply@blogger.comBlogger10125tag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-32156526213196275382010-09-08T11:28:25.957+03:002010-09-08T11:28:25.957+03:00Anon wa 07:28, Mimi naona hizo autographs ni za ea...Anon wa 07:28, Mimi naona hizo autographs ni za early 1970's (1972-1975) kwa sababu hizo hizo ulizozitoa na kutajwa kwa Groovy makers na soulville.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-80871521796501848682010-09-07T20:28:40.209+03:002010-09-07T20:28:40.209+03:00Tufahamishe ni blog gani ili tuwe tunapata matukio...Tufahamishe ni blog gani ili tuwe tunapata matukio yooote yanayoihusu bendi yetu inayopiga miziki wa kitanzania tafadhaliAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-50030489547160155952010-09-07T17:04:27.439+03:002010-09-07T17:04:27.439+03:00Utabiri wangu ni kwamba hizi autographs ni za kati...Utabiri wangu ni kwamba hizi autographs ni za katikati ya miaka ya sabini kwa kuwa ni enzi hizo watu kama James Brown, Elvis Presley na Sidney Poitier walikuwa wakitamba bila ya kusahau mavazi kama pecos na mashati ya slim-fit.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-8504316710881040562010-09-07T12:44:58.982+03:002010-09-07T12:44:58.982+03:00Hahahahaha Njenje watakuwa Salender Bridge.Kuhusu ...Hahahahaha Njenje watakuwa Salender Bridge.Kuhusu web ngoja tufufue japo blog leo jionijfkhttps://www.blogger.com/profile/09986950581734789613noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-7728255727600266612010-09-07T12:12:01.807+03:002010-09-07T12:12:01.807+03:00John!
Kama nakuona wakati unapost mambo haya unach...John!
Kama nakuona wakati unapost mambo haya unachekaaaaaa! namiss sana nyumbani. Vipi ratiba ya Eid kwani band yenu haina web page tujue ili kama yawezekana tuje tumfukuze nyokaa!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-79907018027051526682010-09-07T11:55:14.457+03:002010-09-07T11:55:14.457+03:00Roses are red
Violets are blue
Sugar is sweet
And...Roses are red
Violets are blue
Sugar is sweet
And so are youjfkhttps://www.blogger.com/profile/09986950581734789613noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-35240903714738031732010-09-07T11:47:27.242+03:002010-09-07T11:47:27.242+03:00Mimi favorite yangu ni ya wale watu waliokuwa waki...Mimi favorite yangu ni ya wale watu waliokuwa wakisaini ukurasa wa mwisho kabisa wa autograph book: "By hook or by crook, I am the last in your book, the last to be remembered and the last to be forgotten". Eddy.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-71055312497500856762010-09-05T21:24:31.477+03:002010-09-05T21:24:31.477+03:00Kumbe Ubishoo wa watoto wa upanga haukuanza leo .....Kumbe Ubishoo wa watoto wa upanga haukuanza leo ..wemerithi toka kwa baba zao..mdau USAnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-23461808118782183432010-09-04T17:10:13.524+03:002010-09-04T17:10:13.524+03:00Mkuu,
Kulikuwa na wanandugu wawili waliokuwa mab...Mkuu,

Kulikuwa na wanandugu wawili waliokuwa mabingwa wa kutengeneza hizi autographes kwa kutumia manilla paper halafu wanazichora kwa crayon au colour pencils ule upande wa kuweka picha. Sikuwahi kuona autograph nzuri zaidi ya zile.

Mmoja wa wanandugu hawa alisoma Tambaza na alikuwa bonge la muigizaji kwenye kile kikundi cha waigizaji wa Tambaza. Mwana ndugu mwingine in the early 80s wakati Space 1900 Disco Mbowe Hotel alikuwa doorman.

Autograph langu analo pedejee mmoja ngoja nianze kumdai.

Mkuu, Asante sana kwa hii post. Babu kubwa!!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-74105305059597538832010-09-04T11:48:34.784+03:002010-09-04T11:48:34.784+03:00John Mwakitime
Hii kali maana hata kazi imenishin...John Mwakitime
Hii kali maana hata kazi imenishinda kufanya mara baada ya kuona chapisho hilo.
Ninaenda kutafuta yakwangu nione kama nitaipata maana hii ndio ilikuwa FACEBOOK ya wakati ule. Very very MANUALAnonymousnoreply@blogger.com