tag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post2906374558750327053..comments2023-10-16T19:13:04.600+03:00Comments on Wanamuziki Tanzania: Historia fupi ya muziki wa dansiUnknownnoreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-17857325045789104982010-03-07T02:38:19.677+03:002010-03-07T02:38:19.677+03:00Bendi ile bahati mbaya ilirekodi mara moja tu, ili...Bendi ile bahati mbaya ilirekodi mara moja tu, ilikuwa muziki wa kipekee wenye hadhi asili ya kwao. Recording ilifanywa live nje kwenye ukumbi wa dansi wa polisi Lindi. Bendi ilikuwa inaitwa Mitonga Jazzjfkhttps://www.blogger.com/profile/09986950581734789613noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-30426891495095591802010-03-07T01:27:58.629+03:002010-03-07T01:27:58.629+03:00Mkuu,
Lindi au Masasi kulikuwa na ile Bendi ilyop...Mkuu,

Lindi au Masasi kulikuwa na ile Bendi ilyopiga Jangu Mariana, ilikuwa inaitwaje?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-42294918747329501592010-02-25T23:40:18.780+03:002010-02-25T23:40:18.780+03:00John!
Huyo Anoy hapo chini anatuzingua.Anataka wew...John!
Huyo Anoy hapo chini anatuzingua.Anataka wewe useme nini kuhusu Bwana Kitambi wewe kama wewe? haya unayoyafanya niyamaana zaidi na yanayomhusu kitambi ni ZIADA tu. Yaonekana yeye anajua mengi kuhusu Kitambi wa hamisi ndio maana anajua kwamba hata leo yuko hospitali. Kwakuwa yeye yuko dar afuatilie na atueleze mengi anayojua asituharibie jamvi.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-34960873761117906242010-02-25T02:16:23.383+03:002010-02-25T02:16:23.383+03:00Utanisamehe kama naonekana sifuatilii wakati huu n...Utanisamehe kama naonekana sifuatilii wakati huu niko kwenye tour ya muziki Marekani, nimejaribu kuwasiliana na jamaa zangu nyumbani wafuatilie, hakuna la zaidi ninaloweza kufanya nikiwa huku ugeninijfkhttps://www.blogger.com/profile/09986950581734789613noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-65539986029305432972010-02-25T00:50:24.031+03:002010-02-25T00:50:24.031+03:00Bwana kitime tunashindwa kukuelewa kwanini hufatil...Bwana kitime tunashindwa kukuelewa kwanini hufatilii habari huyu mzee Hamis kitambi ambae inasemekana leo hii amerudishwa muhimbili akiwa taabani. tunaomba hebu kuwa kama Ankal mwananajamii.
Mdau
UKAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-60777683893907693742010-02-23T17:06:43.348+03:002010-02-23T17:06:43.348+03:00Heshima kwako Uncle Kitime.
Nashukuru kwa historia...Heshima kwako Uncle Kitime.
Nashukuru kwa historia hii ya Muziki wa Dansi nchini.
Ntaendelea kuifuatilia katika "toleo lijalo" kujua vipi tumefika hapa tulipo.
Kisha tutajiuliza kama MUZIKI WETU UNAKUA AMA LA??!!!Mzee wa Changamotohttps://www.blogger.com/profile/10491704592061579729noreply@blogger.com