tag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post1025643136148267477..comments2023-10-16T19:13:04.600+03:00Comments on Wanamuziki Tanzania: Mitindo ya BendiUnknownnoreply@blogger.comBlogger9125tag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-69521083420519175912010-05-13T13:25:54.054+03:002010-05-13T13:25:54.054+03:00Mimi nafagilia sana miziki ya zamani kutokana na u...Mimi nafagilia sana miziki ya zamani kutokana na ujumbe maridhawa na umbuji wa upigaji vyombo. Vijana Jazz ni moja ya bendi zilizokuwa kali sana nikumbuka nyimbo kama vile Masaki,Chaurembo, Na Nani? (..Mimi nilie na nanii..eehh..utu na hasira ni vituuu tofautiiii mamaaa eeh.Lakini mitaani inaaminika kuwa bendi hii imekua mahututi baada ya kuundwa TOT.Inaonekana nguvu imeelekezwa TOT na kuacha Vijana ima makusudi au bahati mbaya.Ni kama ilivyokua kwa Twanga na Chipolopolo nyingine inapewa umuhimu nyingine inasahauliwa, sijui ukweli ukojengotahttp://ngota2000@gmail.comnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-90689105176036455622010-05-10T00:48:24.078+03:002010-05-10T00:48:24.078+03:00Kweli Baba Junior, inabidi bendi zetu si Vijana tu...Kweli Baba Junior, inabidi bendi zetu si Vijana tu iangalie namna ya ushambuliaji wa jukwaa, ni muhimu sana kwa mashabiki.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-6041951186697411912010-05-08T18:12:39.593+03:002010-05-08T18:12:39.593+03:00Balozi,
asante kwa kutufahamisha majaribio ya Vij...Balozi,
asante kwa kutufahamisha majaribio ya Vijana jazz kurudi ktk chati, ushauri wangu wasikate tamaa kwani version mpya nimeipenda ya Bujumbura, Aza, VIP n.k labda waongeze mbinu za kutawala steji na kuvuta hisia za mashabiki wakati wa live concerts labda itaamsha wimbi jipya la washabiki.

Mdau
BabaJunior.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-23841811916357394092010-05-08T08:01:40.333+03:002010-05-08T08:01:40.333+03:00MIaka michache iliyopita Vijana Jazz walitoa album...MIaka michache iliyopita Vijana Jazz walitoa album yenye nyimbo za zamani kwa kurekodi upya nyimbo hizo. Ilitegemewa jambo hilo lingeirudisha bendi katika chart lakini haikusaidia.jfkhttps://www.blogger.com/profile/09986950581734789613noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-61114839442903945952010-05-08T00:53:55.592+03:002010-05-08T00:53:55.592+03:00Balozi, nimesikia kibao cha Orch. Vijana Jazz '...Balozi, nimesikia kibao cha Orch. Vijana Jazz 'Bujumbura' kina sound kama new version ktk linki hii http://dalstonoxfamshop.blogspot.com/2009/02/blog-post.html

Je Vijana Jazz wamefufuka upya maana hii version ya vyombo na sauti na madoido sijapata kuisikia ktk "Buja', kwani wengine tuliondoka kitambo nyumbani.

Mdau
BabaJuniorAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-80955147237843959062010-05-06T00:02:47.553+03:002010-05-06T00:02:47.553+03:00UDA Jazz - Bayankata.
"..Tulizaliwaa woote, k...UDA Jazz - Bayankata.
"..Tulizaliwaa woote, kijiji kimoja, lakini ulishindwa kunioa kwa sababu, ulisema sina tabia nzuri eeh! Sasa nimeolewa..."

Atomic Jazz
"..Leo nakupasulia ee, mpenzi wangu nikupendae, usione ninateseka, ni we peke nikupendae..."

...ndugu ee nihurumiee mwenzio ee niko mashakani,
nisije nikapoteaa oo oo niko mashakani..."Pereznoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-83275223023594185482010-05-04T23:19:26.670+03:002010-05-04T23:19:26.670+03:00Kweli balozi nakubaliana nawe, kulikuwa na vionjo ...Kweli balozi nakubaliana nawe, kulikuwa na vionjo vingi sana. Sikiliza ule wimbo wa Penzi La Mwisho wa Sikinde. Katika vtyombo (sebene) utasikia Mwanyiro akilia na lile gita lake la bezi, mhhhhh mhhhh mhhhh, yaani ananifurahisha sana na ule utundu wake pale.

Kingine balozi, hivi ule upigaji solo ama tuseme upigaji wote wa muziki katika bendi, ni kiongozi ndiye anayetaka bendi yake ipigeje ama?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-19275153448908424112010-05-04T00:10:03.334+03:002010-05-04T00:10:03.334+03:00Michael Vincet alikwishafariki zamani. Soloni moja...Michael Vincet alikwishafariki zamani. Soloni moja wapo ya vionjo, kulikuwa na vitu vingi aina ya kupiga rythm, drums,besi na kadhalikajfkhttps://www.blogger.com/profile/09986950581734789613noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1546762066371688241.post-29795026968984638202010-05-03T23:01:14.976+03:002010-05-03T23:01:14.976+03:00Balozi, ni kweli kabisa nakubaliana nawe moja kwa ...Balozi, ni kweli kabisa nakubaliana nawe moja kwa moja. Nakumbuka mwaka 1981 pale Mwananyamala wakati Matimila wanafanya mazoezi ya wimbo wa Almasi. Kasalo aliimba sauti fulani halafu Remmy akamwambia mbele ya mashabiki kuwa ile sauti inafanana sana na Maliki Star wa Orch. Makasy, hivyo asiikaze sana. Kumbuka, kuwa Matimila ilikuwa na karibia ya wanamuziki wote wa Makassy na wakaja na staili yao pekee ya Talakaka eh! Huu ndo muziki wetu wa asili, kweli bendi zilitofautiana na mitindo yao. Sikinde, ukisikia tu wimbo redioni utajuwa hiyo ni Sikinde, Pamba Moto (solo la Kalala), Msondo, Zembwela (solo zito la nguza), Talakaka (solo la bati Osenga), Chakachua (solo la Michael Vincent) yaani utamu kweli kweli!

Hivi Michael Vincent yupo wapi na bado anaendeleza libeneke la solo lake?Anonymousnoreply@blogger.com