Jukwaa la wapenzi wa mambo ya muziki wa Tanzania-

Breaking

Thursday, October 7, 2010

The Upanga Story - The Strokers


The Strokers, hili lilikuwa kundi jingine la wanamuziki wa Upanga. The Strokers lilikuwa na awamu mbili, ya kwanza ilikuwa na wanamuziki akina Donald Max, David Max, Harry Chopeta, Vincet Chopeta, Pino Makame na Ochiwa na Freddy Lukindo. Awamu ya pili ya kundi hili ilikuwa na Sajula Lukindo,Onesmo Kibira,Innocent Galinoma,Ben Galinoma, Denis Pad,Francis Kasambala,Vicent na Harry Chopeta, Ally Mwarabu, Sabri Mmanga na wengineo. Pichani ni awamu ya kwanza ya Strokers. Waliosimama, Pino Makame, Freddie Lukindo, David Max. Waliokaa (?),Harry Chopeta, Vincet Chotepa.

4 comments:

Sam Mnkande said...

Yaani, umenipa nostalgia kweli kweli JK .Ahsante sana

Sam Mnkande said...

Yaani, umenipa nostalgia kweli kweli JK .Ahsante sana

kitime said...

Hebu angalia sign za vidole za Freddie, Bongo Flava take care hamjagundua kipya

ajube king said...

Wajitahidi bana maana game kidogo limekuwa fweza

Adbox