Jukwaa la wapenzi wa mambo ya muziki wa Tanzania-

Breaking

Friday, October 8, 2010

Tunahama

Ili kuboresha mazingira ya kijiwe, tunahamia blog ya Wanamuziki wa Tanzania. Pamoja na mambo mengine pia kuna sehemu ya kusikiliza zilipendwa na kadri ya uwezo ukumbi utaboreshwa zaidi karibuni

7 comments:

SIMON KITURURU said...

Tuko Pamoja Mkuu!

Anonymous said...

Hii post inanichanganya. Blog ya Wanamuziki wa Tanzania si ndio hii, sasa tunahamia wapi? Ufafanuzi tafadhali.

kitime said...

Ni kweli inachanganya lakini nimepata msaada wa kutengeza blog bora zaidi yenye kupendeza na kadhalika. Nakuomba uende www.wanamuzikiwatanzania.blogspot.com uone tofauti

Anonymous said...

Bro kitime uwa nafarajika sana kila niingiapo kwenye blog yako napata vitu adimu katika blog nyingine naomba mungu akuzidishie uwezo na afya njema ili tuzidi kunufaika wengi tupendao muziki pili naomba msaada kwako napenda sana kujifunza kupiga gitaa na nnalo kitu kinishindwacho ni kubadirisha chord hasa kutoka EMojor kwenda. A minor vidole vinakuwa vizito nipe siri kidogo ntashukuru kwa hilo brother mdau wa blog yako ughaibuni

kitime said...

Mazoezi tu

SIMON KITURURU said...

Usiue hii lakini MKUU kwa kuwa tupo tupendao kumbukumbu za kitu orijino RAIZONI hata kama mpya zina mokasini zake mpya zenye utamu wake kimokasini!:-(

Anonymous said...

Nashukuru. Bro kwa kujibu ntajitahidi kufanya mazoezi

Adbox