Jukwaa la wapenzi wa mambo ya muziki wa Tanzania-

Breaking

Thursday, July 15, 2010

Uliwafahamu Hot 5 wa Magomeni Kota?

Kuna swali nimeulizwa sina jibu,na kila ninae muuliza hana kumbukumbu nalo. Nimeulizwa kama nilikuwa nalifahamu kundi lililoitwa Hot 5 ambalo masikani yake yalikuwa Magomeni Kota, kundi hili lilikuwepo kabla ya Flaming Stars kuhamia Mombasa.....kuna mwenye taarifa?

2 comments:

Sammy Mnkande said...

The only ones from Magomeni Quarters ninaowakumbuka walikuwa ni The Tonics

Anonymous said...

Hata mimi ninaowakumbuka walikuwa ni Tonics, ukiondoa wanamuziki waliokuwa wakiishi Magomeni waliokuwa Sparks na Comets (?). And that was in the late 1960's wakati nasoma. Tonics walihamia Arusha ambapo ndipo walifanya maskani yao kwa miaka kadha. Labda ukiwauliza kina Mhuto na Sabuni wanaweza kuwa na kumbukumbu nzuri zaidi.

Adbox