Jukwaa la wapenzi wa mambo ya muziki wa Tanzania-

Breaking

Saturday, July 3, 2010

The Djs

Hii picha ni kumbukumbu kubwa katika ulimwengu wa Disco Tanzania. Pichani ni kati ya the most bfamous Djs Tanzania wakati huo. Najua wadau mtawataja wote hapa, Meb, Masoud Masoud, John Peter, .................

5 comments:

Anonymous said...

Nadhani wa pili kushoto, aliyevaa shati jeupe la mikono mifupi, ni marehemu Adam "Eddy Sally".

Anonymous said...

Secon left Addy Sally and fourth left in the background is Vuli???? Au....

Anonymous said...

hawa walikuwa Top-DJ`s wenye kipaji cha kuzaliwa,sijuwi ilikuwa wapi hapa walikusanyika kwa wakati mmoja,nawaona Eddy,Peters,Choggy Sly,najaribu kumpata Dimando kama na yeye alikuwepo,huu ulikuwa wakati wa starehe za Tanzania rainbow Disco Fever hautosahaulika daima

Mickey Jones

Anonymous said...

Kalikali, John Pantalakis,Masoud Masoud, Mehboob Khan,Choggy Sly....

Mdau
BabaJunior

Anonymous said...

Husussan huyo alie vaa shati jeupe ni eddy sally wa one eyed show sie view alipokuwa akituburidisha. Nakumbuka hits za wakati ule I wanna do my thing ya air fiesta matata, I stand acused ya Isaac hayes etc. kumbe huyu ndugu alishatutoka! Inalillah wa ina ilayhi rajiuna

Adbox