Jukwaa la wapenzi wa mambo ya muziki wa Tanzania-

Breaking

Wednesday, June 9, 2010

Suleiman Mbwembwe



Mbwembwe, Hamza Kalala


Mwenye gitaa kulia Mzee Shem Karenga


Mbwembwe, Shaaban Dede,na Nasir Lubuwa


Dr Remmy, Mbwembwe, Kawelee Mutimwana

8 comments:

Blackmannen said...

Mzee Mwakitime, nakuomba utusaidie kwa mawasiliano kwa mtu yeyote aliye na miziki ya zamani k.m. Kanda au Santuri(sahani) za zamani.

Mtu huyo akufahamishe wewe namna ya kumpata na miziki ipi aliyonayo nasi utufahamishe na jinsi ya kumpata ili tununue au tumpe zawadi yake kwa kutunza kwa muda mrefu kifaa kama hicho.

Najua kuna watu wengi sana wangependa kupata miziki ya zamani kama jinsi sasa unavyoona tulivyo na furaha kubwa kwa jinsi wewe unavyotuhabarisha kuhusu wanamiziki wetu wa zamani tuliokuwa tunawapenda.

Kumbe ni kweli, ule msemo wasemavyo wazungu "Old Is Gold" umejidhihirisha hapa. Tupo pamoja na wewe Mzee wetu John Kitime.

It's Great To Be Black=Blackmannen

Anonymous said...

MZEE KITIME WAAMBIE WAENDE RADIO TANZANIA SASA WANAITWA TBC HAWA JAMAA WANANYIMBO NYINGI SANA ZA ZAMANI HASA WAKATI HUU WA SIKUKUU ZA SABASABA WATEMBELEE BANDA LAO WANAUZA KASSETI NYINGI ZA NYIMBO ZA ZAMANI

SENETA WA MSONDO said...

DU!KWELI NIMEIKUBALI BLOG HII,MANAKE LICHA YA KUWA KARIBU SANA NA MBWEMBWE SIKU ZA MWISHO MWISHO ZA UHAI WAKE SIKUWAHI KUMDADISI SANA JUU YA WAPI ALIKOTOKEA KIMUZIKI ZAIDI YA KUJUA VIJANA JAZZ NA OTTU TU,KUMBE KAKANGU YULE KAPIGA MPAKA NA REMMY!NA ALIISHI UINGEREZA?NASHUKURU SANA UNCLE KITIME,MKIKONGO WANASEMA "OZALI LIKOLOO!"Means uko juu papaa,ila Kibao QUEEN KASSE,Alimwimbia dada mmoja wa mbeya akiitwa Queen Kasekenya,nae ni marehemu kwa sasa,nilikua nikimfahamu sana.

Blackmannen said...

Kama hao TBC wanauza kanda ni vyema sana, tunaomba kupata "Contacts" zao, zimwageni hapa ili tuwasiliane nao.

This Is Black=Blackmannen

Anonymous said...

Tanzania Broadcasting CorporationNyerere Road,

P.O. Box 9191,

Dar es Salaam

HQ-Tel: +255 22 2860760-5, 2865571

Fax: +255 22 2865577

TBC1 tel: +255 22 2700062/63 , 2700466

Fax: 255 22 2700011

Anonymous said...

Tanzania Brodcasting Corporation - (TBC) Managing Director +255 22 270062/32 +255 22 2132340 +255 22 2121315
2 Marketing Department Director of Market +255 22 2860760/+255 22 2865571 +255 22 2866383

Blackmannen said...

Ahsante "Mdau" Anonymous kwa kuturushia contact za TBC, tuwasiliana nao mara moja.

Blackmannen

Ipyana Mwakyambiki said...

nimejua kama watu wanahazina kubwa ya mambo ya zamani,heko Kitime kwa kutujulisha mambo mazuri na nnashukuru kwa contact zao tbc sisi tupo mbeya

Adbox