Jukwaa la wapenzi wa mambo ya muziki wa Tanzania-

Breaking

Monday, June 21, 2010

Sabasaba........

Mazoezi yanaendelea kwa nguvu .

Masoud Masoud alipita kujionea

King Kiki na Bi Shakila....what a combination!!!!!!!


King Kiki, Shakila, Bitchuka

2 comments:

Anonymous said...

Kitime ! hiki kinachotaka kutokea ni kitu ambacho hakitoweza kurudiwa tena katika kizazi hiki. tafadhali msitunyime uhondo. Anzeni kutafuta wadhamini haraka sana ili muweze kufanya ziara ya miakoa angalau minne mwanza arusha mbeya na hata mtwara ama lindi. Ninani ajuaye kwamba kuna siku mtakutana magwiji wa aina hiyo! pia mufanye recording na mauzio yake angalau yasaidie nyumba moja wa wazee ama kuanzisha mfuko wa wazeee.

Anonymous said...

Mkuu,

Babu kubwa!

Nimesisimka.

Tafadhalini naomba mtoe CD na DVD ya shughuli hii. Najua wewe Mzee wa maconnection unaweza kuwapata kina Werner Graebner, John Simpson na wakongwe wenziyo wengine hii kitu ikatoka bomba zaidi na katika international level kama ilivyokuwa Buena Vista Social Club au Kekele.

Mmedhihirisha wanamuziki kivyenu vyenu inawezekana.

Hongera! Oyee Oyee!Congratulations! Bravo! Hurray!

Adbox