Jukwaa la wapenzi wa mambo ya muziki wa Tanzania-

Breaking

Thursday, May 20, 2010

Tunawakumbuka


Panjula na Kitonsa

3 comments:

Anonymous said...

Safu hii inamujuisha na Chuma wa Sikinde?

Anonymous said...

Wakuu,

Kitonsa wa Livingstone? Kama ndiye, pale kwake ilikuwa kama Amsterdam. Halafu Gwachemala, pale Utani Mkunguni chini ya Wizara ya Mambo ya Nje. Barry White kule Lebanon. Joseph Kuo, Korongo, Form Six na Ray Abdul walikuwa Mbowe na Magot. Msasani Mikoroshoni alikuwepo Kazadi Best. Kinondoni Mosko ma Mama wa Kinyamwezi.

Dar ilikuwa inachemka. Siku hizi Dar inatokota tu, siyo moto siyo baridi.

Nitakutumia picha za magazeti ya Uhuru na Daily News kurasa za matangazo ya sinema na muziki.

Anonymous said...

Mdau wa pili, Kweli kama ni Kitonsa wa Livingstone basi ni wakati Dar inachemka hasa. Sahihisho... si wizara ya mambo ya nje ni wizara ya kazi. Ray Abdul yuko wapi? Sijamwona mjini kwa muda sasa. Abdul Sadiki.

Adbox