Jukwaa la wapenzi wa mambo ya muziki wa Tanzania-

Breaking

Friday, May 21, 2010

Dr Nico Kasanda

1 comment:

Anonymous said...

Wakuu,

Docteur Nico & African Fiesta walikong'ota kibao kimoja kilikuwa kinaitwa Exhibition Dechaud, aarrghhh yale maguitar katika nyimbo ile balaa tupu. Nikiisikiliza Exhibition Dechaud huwa inanikumbusha zile series za Nuta Jazz Band za Msondo Namba 1, Msondo Namba 2, na Msondo Namba 3.

Asante kwa majamboz unayotuletea yanatupa raha kwa kumbukumbu na karaha kwa kuondokewa.

Adbox